πŸ§ΈπŸ…–πŸ…”πŸ…” β“‚β“‡β’Ίβ“ƒβ“„πŸ‡΅πŸ‡Ή(@Mreno254) 's Twitter Profileg
πŸ§ΈπŸ…–πŸ…”πŸ…” β“‚β“‡β’Ίβ“ƒβ“„πŸ‡΅πŸ‡Ή

@Mreno254

_πšƒπš›πš’ πšŠπš—πš πšπšŠπš’πš• πš‹πšžπš πšπš˜πš—'𝚝 πšπšŠπš’πš• 𝚝𝚘 πšπš›πš’....
@Arsenal fan
@YoungAfrican sports club

ID:1627607674811719680

calendar_today20-02-2023 09:55:06

1,5K Tweets

439 Followers

966 Following

millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na anachukua nafasi ya John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na anachukua nafasi ya John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi
account_circle
Kabigwa_AfyaπŸ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Tabia Hatarishi Zinazoweza Kuharibu Afya ya Uzazi Kwa Mwanaume,

Uzi 🧡,

Like & Repost πŸ”„ Kwa Ajili ya Wengine!

1. NGUO ZA NDANI ZINAZOBANA

Tabia Hatarishi Zinazoweza Kuharibu Afya ya Uzazi Kwa Mwanaume, Uzi 🧡, Like & Repost πŸ”„ Kwa Ajili ya Wengine! 1. NGUO ZA NDANI ZINAZOBANA
account_circle
Mr HealthπŸ’ŠπŸ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI

Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mchekeshaji maarufu aliyejipatiia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii Umar Lahbedi Issa maarufu Mzee wa Mjegeje amefariki dunia jana wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam.

Akiongea na @AyoTV_, Meneja wa Mzee wa Mjegeje, Clement Charles

Mchekeshaji maarufu aliyejipatiia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii Umar Lahbedi Issa maarufu Mzee wa Mjegeje amefariki dunia jana wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam. Akiongea na @AyoTV_, Meneja wa Mzee wa Mjegeje, Clement Charles
account_circle