
Moza Ally
@mozaally_
FORMER VICE CHAIRPERSON BAVICHA NATION (CHADEMA)2019-2025,ENTREPRENEUR,POLITICIAN ,🗝 FOUNDER OF FOCUS ASSOCIATION💵
ID: 721954267842670592
18-04-2016 06:51:25
2,2K Tweet
28,28K Followers
109 Following

















M/Mwenyekiti wa CHAUMMA Tanzania @devothaminja akihutubia mkutano wa kwanza leo June 11, Jimbo la *KAVUU, KATAVI* ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Hadhara ya Operation *C4C* inayoendelea nchi nzima. Kavuu imeipokea *CHAUMMA* kwa kishindo. *#TunaendelezaTulipoishia* *#CHAUMMA4Change*


Tupo hapa tunaileta CHAUMMA kwenu mtuusaidie tuipambanie tuiondoe CCM tumeteseka miaka 64, ndugu zangu wa Tabora tulipotoka huko kote Watanzania wamepigika. Makamu Mwenyekiti- Bara Mhe. Devota Minja 📍Tabora #OperationC4C #TunaendeleaTulipoishia
