Prophet Frank Mo1๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mo1frank) 's Twitter Profile
Prophet Frank Mo1๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@mo1frank

Danieli 5:25
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.

ID: 1185178012670713856

calendar_today18-10-2019 12:57:28

58,58K Tweet

7,7K Followers

440 Following

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Na first ladies wa TAA; Asha na Happy. TAA tunatunza mazingira kwa kuratibu kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida iitwayo SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA.

Na first ladies wa TAA; Asha na Happy. 

<a href="/TAA_Tanzania/">TAA</a> tunatunza mazingira kwa kuratibu kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida iitwayo SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA.
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Asante sana, Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wetu wa Chama na Wajumbe wa Vikao kwa Imani Kubwa. Imani ulipwa kwa Imani, Sintowaangusha. Tutanadi na Kuelimisha Umma kuhusu Ilani kwa Uzuri na Njia Bora Zaidi.

Asante sana, Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wetu wa Chama na Wajumbe wa Vikao kwa Imani Kubwa. Imani ulipwa kwa Imani, Sintowaangusha. Tutanadi na Kuelimisha Umma kuhusu Ilani kwa Uzuri na Njia Bora Zaidi.
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ANAJITOSHELEZAโ€ผ๏ธ Katika muda mfupi amefanya mageuzi ya kisekta yasiyomithimika KULIKO TULIPOTOKA; sote TUWE NA SHUKRANI. CCM ni kubwa mno; huwezi kujiongelesha na kamdomo chako kama cha akina Polepole ama Gwajima ukadhani utaibomoa; UNAJISUMBUA. Mama amejaa upendo,

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

CCM NDIO BABA NA MAMA WA WATANZANIAโ€ผ๏ธ Ikungi tumekubaliana kura zote ni kwa Rais Dkt Samia Suluhu na kwa wagombea wote wa CCM. Tundu Lissu anapaogopa Ikungi kuliko popote Tanzania. CCM tulichobarikiwa ni huduma bora na maendeleo luluki kwa wananchi; CHADEMA na vyama vya

Peter Msigwa (@msigwapeter) 's Twitter Profile Photo

Nobody cares about your problems as much as you think they do. This sounds harsh but it's actually liberating. You're not the main character in everyone else's story. They're too busy worrying about their own stuff. Stop holding yourself back because of what people might

TAA (@taa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Karibu kazini Sekretari wetu mpya wa Shirika la TAA, Miss SIMPOROSA QAYMO. TAA tupo tayari kuungana nanyi kutunza mazingira kwa kupanda miti Singida kumsapoti Rais wetu Dkt Samia Suluhu kudhibiti mabadiliko ya tabianchi kwa udhamini wa TFS. Suphian Juma Nkuwi, Mkurugenzi-TAA

Karibu kazini Sekretari wetu mpya wa Shirika la TAA, Miss SIMPOROSA QAYMO.

TAA tupo tayari kuungana nanyi kutunza mazingira kwa kupanda miti Singida kumsapoti Rais wetu Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kudhibiti mabadiliko ya tabianchi kwa udhamini wa TFS.

Suphian Juma Nkuwi, 
Mkurugenzi-TAA
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Karibu kazini Sekretari wetu mpya wa TAA, Miss SIMPHOROSA QAYMO. TAA tupo tayari kuungana nanyi kutunza mazingira kwa kupanda miti Singida kumsapoti Rais wetu Dkt Samia Suluhu kudhibiti mabadiliko ya tabianchi kwa udhamini wa TFS. Suphian Juma Nkuwi Mkurugenzi-TAA

Karibu kazini Sekretari wetu mpya wa <a href="/TAA_Tanzania/">TAA</a>, Miss SIMPHOROSA QAYMO.

TAA tupo tayari kuungana nanyi kutunza mazingira kwa kupanda miti Singida kumsapoti Rais wetu Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kudhibiti mabadiliko ya tabianchi kwa udhamini wa TFS.

Suphian Juma Nkuwi
Mkurugenzi-TAA
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Karibu sana Singida Dkt Samia; Septemba 9, 2025. Wanasingida tumekubaliana kura zote 100% ziende kwako kwasababu umetuletea mageuzi ya kisekta yasiyomithimika ya kihistoria katika muda ufupi Rais wetu pendwa. Kwa hakika tunajivunia wewe. Suphian Juma Nkuwi, Kada-CCM

Karibu sana Singida Dkt Samia; Septemba 9, 2025.

Wanasingida tumekubaliana kura zote 100%  ziende kwako kwasababu umetuletea mageuzi ya kisekta yasiyomithimika ya kihistoria katika muda ufupi Rais wetu pendwa.

Kwa hakika tunajivunia wewe. 

Suphian Juma Nkuwi, 
Kada-CCM