KMchuchuli
@mchuchulik
1)Mjumbe Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo 2024-2029.
2)Mbunge Mstaafu (Viti Maalum) 2010-2015.
ID: 1260889086858010626
14-05-2020 11:06:29
1,1K Tweet
1,1K Followers
160 Following
Nawashukuru Wakazi wa Rufiji kwa ushiriki wao katika zoezi la kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama changu ACTWazalendo kiniteuwe kuwa Mgombea wa Ubunge #AlutaContinua #MuhuniHasusiwi #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Waziri Kivuli Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Monalisa Joseph Ndala, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba @Monalisandala amekabidhiwa fomu hiyo hii leo tarehe 17 Mei 2025, na Katibu wa ACTWazalendo Jimbo la
Leo Mei 18, 2025 Katibu Mkuu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Kilwa Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ndugu Twahir Bingwe. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo
Leo Mei 18, 2025 Katibu Mkuu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Kilwa Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ndugu Twahir Bingwe. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo
Nimechukua fomu ya Chama changu ACTWazalendo ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kibiti. Katika Safari hiyo nilisindikizwa na Ngome ya Wanawake, Ngome ya Wazee na Vijana wa Kata ya Mjawa. Nipo tayari kwa Mapambano , nipo tayari kukipigania Chama changu. #Muhuni_Hasusiwi.
Chama pekee Tanzania kinacho akisi maana halisi ya; 1. #WeAreStrongTogether 2.#ACTInBlood 3.#ACTNiKamaDini 4.#HakunaKuhamaChama😅 Vyama vyote vinavobaki ni matepeli wanaojaribu kupora matendo yetu tunayoyaishi ACTWazalendo na kutumia kwa njia maneno kulaghai Umma.
Vichwa viwili matata, moto wa kuotea mbali. Role models to so many of us kwenye hii struggle. Mungu awalinde viongozi wetu. Vijana wenu tupo. We're so hopeful. Kunakaribia kupambazuka. Lazima giza litajitenga na nuru. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Ismail Jussa #MuhuniHasusiwi #TheFutureIsPurple
"Njia pekee ya kuhakikisha kwamba; hizi Ripoti za CAG zinakuwa na manufaa, zinaleta mabadiliko kwa Watanzania—ni kuiondosha Serikali ya CCM madarakani." KC Dorothy Semu Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo
Ni Agosti 06, 2025 Chama cha ACTWazalendo kitafanya Mkutano Mkuu Maalum; Mlimani City. Macho na masikio yote yatakuwa huko siku hiyo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Picha KC Dorothy Semu akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACTWazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Leo Agosti 05, 2025 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Mstaafu, Ndugu Jamal Rwambow amejiunga na Chama cha ACTWazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Semu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Ndugu Othman Masoud Othman; Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACTWazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi