Dr Francis A M.
@mbwilo7francis
Medical Doctor, Baller 🏀, Footballer ⚽️ Gemini ♊️
ID: 778060904235663361
20-09-2016 02:39:10
9,9K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following
MWALIMU🙏🇹🇿 nyingine hii, Saiv sisiemu mko kutuharibia nchi kila mbunge wenu anashule na inafanya vibaya mnataka kutengeneza raia mazwzwa ili mbakie madarakani??
Dr Francis A M. Doctor Mishy🇷🇺 Yani ni kasheshe sana, inabidi kutokuwa na ukaribu sana kwasababu unaweza ukajitahidi kumuelezea kumbe anakuchora tu aende kukuandika X kuhusu jambo kumbe ameelewa tofauti,unampa unnecessary extra info na hata kugoogle hajui,kama haniamini basi aende hapo mbele
Chequavarealer. Dr Francis A M. Doctor Mishy🇷🇺 Najaribu kumuelewa Dada ila sijafanikiwa, nadhani anahitaji muda zaidi kuhudhuria Hospitali ajue thamani ya Afya na mtoa huduma za Afya. Kwa ufupi sana umelipa Pesa kulingana na huduma uliyopatiwa, ishu si dawa Huduma. Next round ukiona miyeyusho kunywa mpera au mbilimbi.
salmin 🇹🇿 Dr Francis A M. Doctor Mishy🇷🇺 Hii bongo ni kazi, ulaya hata ukienda mgahawani unakula unalipia na Tip unatoa hapa Bongo unapata huduma consultation kidogo ilaa hata kumuheshimu aliejitolea hakuna, inabidi tuongeze bei iwe kama consultation za US ili watu tuzoee kuheshimu huduma zote
100% JESUS 100% JESUS 100% JESUS 100% JESUS 100% JESUS 100% JESUS 100% JESUS 🦁 Shomari Kapombe