Madurotz (@madurotz) 's Twitter Profile
Madurotz

@madurotz

Father || Husband || |I tweet anything||Haki huinua Taifa||

ID: 3115173705

calendar_today25-03-2015 16:15:37

14,14K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

"....nchi yetu imefikia hatua, watu wasiojua chochote ndio wanaopewa nafasi zaidi ya kusikilizwa kulikoni wale wanaojua,na mtu asiyejua anaona ni mbaya sana kwake yeye kuuliza na kusikiliza anayejua..." Murtaza Mangungu akiongea na DW kwenye #DuniaYetuLeoMchana

"....nchi yetu imefikia hatua, watu wasiojua chochote ndio wanaopewa nafasi zaidi ya kusikilizwa  kulikoni wale  wanaojua,na mtu asiyejua anaona ni mbaya sana kwake yeye kuuliza na kusikiliza  anayejua..."

Murtaza Mangungu  akiongea na DW kwenye #DuniaYetuLeoMchana
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Una haki ya kuheshimika hata kama huna walichonacho wengine. Kamwe, usiruhusu mtu yeyote akakunyanyasia umasikini wako hata kama unamhitaji. Usiruhusu mtu awaye yeyote akatweza utu wako kwa sababu tu ya hali ngumu unayopitia au uliyozaliwa nayo. Jesse Jackson anatuachia

Ademọ́lá. (@ogbenidemola) 's Twitter Profile Photo

Islam has its own hell fire. Christianity has its own hell fire. Religion was built on fear. To dominate and control. Hell fire doesn’t exist. When you die, your body simply rots.

New Direction AFRICA (@its_ereko) 's Twitter Profile Photo

Teach them this was the meaning. Colonization, looting, bodies in the water, cultures erased. Tell them the truth they won't find in textbooks. The West didn't civilize anyone. It emptied continents and called it progress. Make sure the next generation knows.

Teach them this was the meaning. Colonization, looting, bodies in the water, cultures erased. Tell them the truth they won't find in textbooks. The West didn't civilize anyone. It emptied continents and called it progress. Make sure the next generation knows.
Zoom Afrika (@zoomafrika1) 's Twitter Profile Photo

"They will create the virus themselves and sell you the antidotes.Thereafter,they will pretend to take time to find the solution when they already have it." ~ Muammar Gaddafi (2009 United Nation Assembly)

"They will create the virus themselves and sell you the antidotes.Thereafter,they will pretend to take time to find the solution when they already have it."

~ Muammar Gaddafi
(2009 United Nation Assembly)
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kampuni yetu ya #Bajabir imesajiliwa Brela na inatoa risiti za EFD na pia tuna cheti cha VAT. Hii inatoa nafasi kufanya kazi na corporates. Tunasafirisha mizigo mikubwa na midogo kutokea Dar e s salaam kwenda maeneo mbalimbali Tanzania. ☎️ 0672 808100 📍 Kinondoni Road

Kampuni yetu ya #Bajabir imesajiliwa Brela na inatoa risiti za EFD na pia tuna cheti cha VAT.

Hii inatoa nafasi kufanya kazi na corporates.

Tunasafirisha mizigo mikubwa na midogo kutokea Dar e s salaam kwenda maeneo mbalimbali  Tanzania.

☎️ 0672 808100 
📍 Kinondoni Road
Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

Dear son, Not invited = Don‘t go Not told = Don‘t ask Late invites = Decline You were never part of the plan. Treat yourself with the respect you deserve.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Dear Iran, African leaders are waiting to tell us that water is not available in our cities because of the wars in your country. We are with you.

Bony 📚 (@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

Ukarabati wa Bilioni 30 alafu umefungwa Tena, mie naamini matatizo wanayopitia watanzania Kuna watu ni wanufaika nayo. UTAPELI 😂🚮

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Usipotafuta namna ya ku Multiply kipato chako, unajikuta kwenye mzunguko ule ule wa earning and spending, year after year, SADLY.