LINAH💞 (@linah_kikula) 's Twitter Profile
LINAH💞

@linah_kikula

Girl with alot of dreams to fullfill💪💕
Beauty with Brain🎓🎓🎓🎓🎓
Queen of my own queendom👑
Mama to Princess Lisah🌹
owner and CEO of Linah kids fashion💕

ID: 1333571240892698625

calendar_today01-12-2020 00:39:10

1,1K Tweet

741 Followers

157 Following

LINAH💞 (@linah_kikula) 's Twitter Profile Photo

Gormahia walidhani kucheza na National Alahaly mchezo etiii🤣🤣🤣 dakika 14 goli 2... Simba iheshimiwe saana kuipiga hii team kila ikija🤣🤣🤣🤣 Wakenya waarabu mnawajua?

Nassib Mkomwa (@nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

🗣"Simba ni timu kubwa Afrika hivyo kila mechi inacheza ili ishinde na kama tusiposhinda basi tusipoteze mechi."- Fadlu Davids.

🗣"Simba ni timu kubwa Afrika hivyo kila mechi inacheza ili ishinde na kama tusiposhinda basi tusipoteze mechi."- Fadlu Davids.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Let’s take a minute to appreciate the boys for the milestone registered in the CAF tournament so far. We are Simba Sports Club. #NguvuMoja🦁

Let’s take a minute to appreciate the boys for the milestone registered in the CAF tournament so far.

We are Simba Sports Club. #NguvuMoja🦁
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Demands za vijana wa Tanzania zinafahamika, wanataka ajira ambayo ni hako yao, sio mazungumzo na mtu mwenye ajira kwenye ofisi ya serikali, ambae hajui maumivu ya kijana asie na ajira. Kati ya kosa kubwa hawa vijana watafanya ni kuruhusu hiki kinachoitwa mazungumzo ya watu

Demands za vijana wa Tanzania zinafahamika, wanataka ajira ambayo ni hako yao, sio mazungumzo na mtu mwenye ajira kwenye ofisi ya serikali, ambae hajui maumivu ya kijana asie na ajira.

Kati ya kosa kubwa hawa vijana watafanya ni kuruhusu hiki kinachoitwa mazungumzo ya watu
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

NI MSIBA WENU HATUTAKIWI KUŴAPANGIA NAMNA YA KUOMBOLEZA. 1.Hamtakiwi kujieleza sana kwani kwa madhila ya Ukosefu wa Ajira inajitosheleza. 2.Madai yenu ni ya kijamii na kisiasa hivyo hakuna kosa lolote kushirikiana iwe na taasisi za kijamii ,kidini au kisiasa.Ufumbuzi wa

NI MSIBA WENU HATUTAKIWI KUŴAPANGIA NAMNA YA KUOMBOLEZA.

1.Hamtakiwi kujieleza sana kwani kwa madhila ya Ukosefu wa Ajira inajitosheleza. 

2.Madai yenu ni ya kijamii na kisiasa hivyo hakuna kosa lolote kushirikiana iwe na taasisi za kijamii ,kidini au kisiasa.Ufumbuzi wa
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

BARUA YA WAZI KWA RAIS Samia Suluhu Mhe. Rais, ninaamini barua hii inakukuta ukiwa na uzima tele. Nina takwimu kidogo nahitaji kukushirikisha. 1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini Daresalaam yenye wanafunzi 2,800 ina mwalimu 1 tu wa somo la kiingereza. Wanafunzi 409

BARUA YA WAZI KWA RAIS <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 

Mhe. Rais, ninaamini barua hii inakukuta ukiwa na uzima tele. Nina takwimu kidogo nahitaji kukushirikisha. 

1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini Daresalaam yenye wanafunzi 2,800 ina mwalimu 1 tu wa somo la kiingereza. 

Wanafunzi 409
Thabit Jacob, PhD (@thabitsenior) 's Twitter Profile Photo

🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁