Kasesela (@kasesela) 's Twitter Profile
Kasesela

@kasesela

ID: 183381242

calendar_today26-08-2010 21:34:39

9,9K Tweet

25,25K Followers

1,1K Following

MATUKIO DAIMA Tv (@tvdaima) 's Twitter Profile Photo

Niwaombeni Sana wananchi tuendelee kumuunga mkono Rais Wetu Dkt Samia Suluhu kazi anazofanya ni kubwa na mnaona wenyewe mradi huu mkubwa wa Umwagiliaji wa Mkombozi Pawaga ametoa fefha zaidi ya Tsh Bilioni 55 ili mlime vizuri -MNEC Taifa Richard Kasesela

Niwaombeni Sana wananchi tuendelee kumuunga mkono Rais Wetu Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kazi anazofanya ni kubwa na mnaona wenyewe mradi huu mkubwa wa Umwagiliaji wa Mkombozi Pawaga ametoa fefha zaidi ya Tsh Bilioni 55 ili mlime vizuri -MNEC Taifa Richard <a href="/Kasesela/">Kasesela</a>
Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s success in the livestock sector is the result of President Samia Suluhu focus on empowering women, youth and smallholder farmers. Mama Samia's decisive investments over the past two years have modernised and revitalised agriculture, empowering youth and women to

Tanzania’s success in the livestock sector is the result of President <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> focus on empowering women, youth and smallholder farmers.

Mama Samia's  decisive investments over the past two years have modernised and revitalised agriculture, empowering youth and women to
Kasesela (@kasesela) 's Twitter Profile Photo

Kama Mhe Rais anachukua muda wake kusikikiliza kero za wananchi, kwa nini baadhi ya viongozi hatuoni kama hili ni jukumu la kila mmoja wetu kusikiliza kutatua na kutokuwa chanzo cha kero? Nawatakia kheri ya mwaka 2024 uwe mwaka wa kutatua kero kwa watanzania

Kama Mhe Rais anachukua muda wake kusikikiliza kero za wananchi, kwa nini baadhi ya viongozi hatuoni kama hili ni jukumu la kila mmoja wetu kusikiliza kutatua na kutokuwa chanzo cha kero? Nawatakia kheri ya mwaka 2024 uwe mwaka wa kutatua kero kwa watanzania
Kasesela (@kasesela) 's Twitter Profile Photo

Usije ukaamini njia za mafanikio za mwenzio anazo kuambia kwani huwa awezi kukuambia maeneo yote aliyopitia yako mengine ni ya aibu YA KUAMBIWA …..