Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profileg
Dotto Rangimoto

@JiniKinyonga

Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry) 🇹🇿🇨🇳

ID:474834093

calendar_today26-01-2012 11:50:14

100,8K Tweets

25,7K Followers

1,8K Following

shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.'

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

ACTWazalendo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.' Waziri Mkuu Kivuli @MchinjitaIR @ACTwazalendo
account_circle
MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

KUSHINDWA KWA MRADI WA MWENDEKOSI MCHENGERWA AJIUZULU

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Isihaka Mchinjita amemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Tamisemi , Mohamed Mchengerwa ajiuzulu kwa kutokana kushindwa kwa mradi wa Udart.

account_circle
Creator CLEN(@DirectorTheking) 's Twitter Profile Photo

'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.'

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu

'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.' Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #RipotiyaCAG #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndg Dorothy Semu; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg Isihaka Mchinjita

Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg Kiza Mayeye. ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg shangwe Ayo.

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndg @SemuDorothy; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg @MchinjitaIR Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg @kizamayeye_ ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg @ayo_shangwe. #CAG #KaziInaendelea #KufujaFedhaZaUmma
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.'

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu

'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.' Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #RipotiyaCAG #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu.

Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita

Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta.

Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, Kiza Mayeye..

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu @MchinjitaIR Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli, Ndugu @idrisa_kweweta. Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, @kizamayeye_.
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Air Tanzania ilipata hasara ya Shilingi bilioni 56.64. Sababu za kupata hasara hiyo ni zilezile ikiwemo gharama kubwa za uendeshaji na gharama za ukodishaji wa ndege na Bima ya ndege Airbus A220-300 kutokana na ubovu wa Injini na kutu.'

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu

'@AirTanzania ilipata hasara ya Shilingi bilioni 56.64. Sababu za kupata hasara hiyo ni zilezile ikiwemo gharama kubwa za uendeshaji na gharama za ukodishaji wa ndege na Bima ya ndege Airbus A220-300 kutokana na ubovu wa Injini na kutu.' Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.'

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

ACTWazalendo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.' Waziri Mkuu Kivuli @MchinjitaIR @ACTwazalendo
account_circle
Kassala(@Vicent_Kassala) 's Twitter Profile Photo

'Nchi inatumia sehemu kubwa ya makusanyo yake kwenda kuhudumia deni badala ya kutoa huduma kwa wananchi walalahoi. Taarifa za Benki Kuu zinaonyesha kila mwezi tunatumia bilioni 900 kwa ajili ya kulipa deni la Serikali.'

Waziri Kivuli wa Fedha
Kiza Mayeye.

'Nchi inatumia sehemu kubwa ya makusanyo yake kwenda kuhudumia deni badala ya kutoa huduma kwa wananchi walalahoi. Taarifa za Benki Kuu zinaonyesha kila mwezi tunatumia bilioni 900 kwa ajili ya kulipa deni la Serikali.' Waziri Kivuli wa Fedha @kizamayeye_ #RipotiyaCAG
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

Ukumbi wa Hakainde Hichilema, ulioko kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni Dar es salaam. Hapa ndiko chama kiongozi; chama cha ACTWazalendo kitafanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG.

Usiwache kufuatilia kwani tutakuwa mubashara.

Wasemaji wa Kisekta

Ukumbi wa Hakainde Hichilema, ulioko kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni Dar es salaam. Hapa ndiko chama kiongozi; chama cha @ACTwazalendo kitafanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG. Usiwache kufuatilia kwani tutakuwa mubashara. @ACTBarazaKivuli #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
account_circle