Jackline Victor (@jacklinevictor5) 's Twitter Profile
Jackline Victor

@jacklinevictor5

Correspondent Journalist at The Chanzo, Award winning journalist, storyteller, voice over,jingles, helping people living in poverty 🥰

ID: 1164117025943429120

linkhttp://thechanzo.com calendar_today21-08-2019 10:08:57

32,32K Tweet

2,2K Followers

296 Following

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya Lissu Kuendelea Leo, Tayari Amefikishwa Mahakamani Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inaendelea leo katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo inatarajiwa kuwa upande wa Jamhuri utajibu mapingamizi ya Lissu

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Bibi huyu mwenye ulemavu atelekezewa wajukuu watano na watoto wake Dodoma, awaangukia wasamaria wema. Kwa msaada unaweza kuwasiliana naye kupitia simu namba 0670241748.

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Nyundo na Wenzake Wafutiwa Kosa la Kulawiti kwa Genge, Wabaki na Kosa la Kubaka kwa Genge Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imewafutia Nyundo na wenzake kosa la kulawiti kwa genge kwa kuwa kosa hilo halipo kisheria, huku ikibariki adhabu ya kifungo cha maisha gerezani kwa

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Polisi: Suala la Uchaguzi Mkuu Kupita kwa Amani ni Kipaumbele, 'Tumejipanga' Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani kama ulivyopangwa kwa mujibu wa sheria.

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Kuwekeza katika kuwajengea vijana wadogo uwezo ni hatua muhimu katika kujenga kesho iliyo bora. Tuwape nafasi, ujuzi na maarifa ya kutumia teknolojia kwa usalama ili kuwalinda dhidi ya Ukatili mtandaoni. #EndTFGBV #SafeOnlineSpace #ElimikaWikiendi

Kuwekeza katika kuwajengea vijana wadogo uwezo ni hatua muhimu katika kujenga kesho iliyo bora.

Tuwape nafasi, ujuzi na maarifa ya kutumia teknolojia kwa usalama ili kuwalinda dhidi ya Ukatili mtandaoni.
#EndTFGBV
#SafeOnlineSpace
#ElimikaWikiendi
Jackline Victor (@jacklinevictor5) 's Twitter Profile Photo

Wanakijiji cha Makang'wa kilicho Mvumi mkoani Dodoma wanawashukuru wale wote waliojitoa kwa ajili yao kwa kuwapatia mavazi. Nakuomba wewe ambaye utafanikiwa kuona chapisho hili, ikiwa una nguo, viatu na kadhalika na ungependa kutoa kwa wahitaji nakukaribisha. 0714552197

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Hakuna aliye imara kwa nguvu zake mwenyewe. Wote tunavunjika, tunachoka, tunapoteza matumaini, lakini hapo ndipo nguvu ya Mungu huonekana kwa utukufu. Udhaifu wako si aibu, ni nafasi ya Mungu kuonyesha uwezo Wake ndani yako 🙏🏼

Jackline Victor (@jacklinevictor5) 's Twitter Profile Photo

Familia ya Eliza yenye watoto wenye ugonjwa wa Selimundu yawashukuru Watanzania kwa msaada.Nafurahi kuona nilicho fanya kimezaa matunda. Stori na Jackline Victor Mbunifu @shafii___hamisi. Tembelea The Chanzo kwa taarifa zaidi. Unaweza kuwasiliana nao kupitia namba 0684601059.

Jackline Victor (@jacklinevictor5) 's Twitter Profile Photo

Karibu kutazama makala hii niliyofanya inaonesha hali ya umasikini inavyoitesa familia ya Manyubwi mwenye ulemavu wa macho, yalia na mjukuu wao mwenye kifafa kuzalishwa na kutelekezewa watoto wanne. Kwa utakaye guswa kuwasaidia nakukaribisha 0712363312

Jackline Victor (@jacklinevictor5) 's Twitter Profile Photo

Muendelezo wa stori ya mzee Manyubwi anayepitia hali ya umasikini, na familia yake. Mzee Manyubwi mwenye ulemavu wa macho awashukuru Watanzania wanaoendelea kumshika mkono yeye na familia yake. Kwa msaada zaidi 0712363312. Stori na Jackline Victor