Muleba nyakatwaga (@jmagobe06) 's Twitter Profile
Muleba nyakatwaga

@jmagobe06

ID: 1880237329140576257

calendar_today17-01-2025 12:55:24

539 Tweet

24 Followers

207 Following

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

THE MESHA Pesa ni mtumwa mzuri, lakini pesa hiyo ni bosi mbaya Ukiituma pesa yako itakutii na kukuletea pesa nyingine. Ukiifanya pesa kuwa bosi itakutesa na itakumikisha vibaya

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Faida ya UWEKEZAJI imefichwa kwenye kitu kinaitwa MUDA Wengi sio kwamba wanashindwa kuwekeza, ila wamekosa UVUMILIVU Jitahidi kujenga tabia ya uvumilivu ili uweze kuvuna kwa wakati sahihi Kumbuka, uhuru wa kifedha unaupata kwenye UWEKEZAJI Good thing take time.

Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile Photo

“Mungu hayuko mbali nasi – yuko karibu nasi katika historia yetu, katika huzuni na furaha.” Dominika hii inatuonesha sura halisi ya "wajumbe wa matumaini" Watu wa sala, si wa hofu, Watangazaji wa amani, si wa mashaka, Wenye moyo wa huruma na uponyaji, si wa hukumu.

“Mungu hayuko mbali nasi – yuko karibu nasi katika historia yetu, katika huzuni na furaha.” Dominika hii inatuonesha sura halisi ya "wajumbe wa matumaini" Watu wa sala, si wa hofu, Watangazaji wa amani, si wa mashaka, Wenye moyo wa huruma na uponyaji, si wa hukumu.
Babuu | Hisa (@brobabuu) 's Twitter Profile Photo

Tofauti ya Bei na Thamani kwenye Uwekezaji Bei ni kiasi unacholipa; thamani ni kile unachopata. Bei hubadilika kila siku kwa sababu ya demand and supply. Thamani huongezeka taratibu kadri kampuni inavyopata faida, kukuza biashara. Mwisho wa siku, bei hufuata thamani. 👉

SA (@salumawadh) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji katika hisa una faida kubwa, na risk kubwa. Kama huna ufahamu wa namna ya kuwekeza, wasiliana na wataalam wakusaidie. Uwekezaji wa hisa unaweza kupanda, Kama ulivyo hisa za Twiga cement, mwaka huu kuanzia Januari, hisa zimeongezeka kwa 50% (YTD). Wakati hisa za

Uwekezaji katika hisa una faida kubwa, na risk kubwa.

Kama huna ufahamu wa namna ya kuwekeza, wasiliana na wataalam wakusaidie.

Uwekezaji wa hisa unaweza kupanda, Kama ulivyo hisa za Twiga cement, mwaka huu kuanzia Januari, hisa zimeongezeka kwa 50% (YTD).

Wakati hisa za
Josph konja (@bzneskonja) 's Twitter Profile Photo

Ni wiki ya pili sas mwenendo wa bei umekua mkal mnooo kutoka 790-915 🥹 huku huzuni zikitawala kwa wanunuzi kwan kwa sas imekuna ngum kuzipata hata kwa bei hiyo ,stress za CRDB shares ni zaid ya mapenz aisee 🙌

Ni wiki ya pili sas mwenendo wa bei umekua mkal mnooo kutoka 790-915 🥹 huku huzuni zikitawala  kwa wanunuzi kwan kwa sas imekuna ngum kuzipata hata kwa bei hiyo ,stress za CRDB shares ni zaid ya mapenz aisee 🙌
Batholomeo Shukran? (@batho_shukran) 's Twitter Profile Photo

CRDB 915 TZS NICO 1,075 TZS Kununua hisa 10 za CRDB inakuhitaji utumie 9,150 TZS Kununua hisa 10 za NICO inakuhitaji utumie 10,075 TZS Si kipindi kirefu, itakubidi ununue hisa 10 za CRDB kwa 91, 500 TZS Vilevile 100,750 kwa upande wa NICO Maamuzi ni yako.

Babuu | Hisa (@brobabuu) 's Twitter Profile Photo

🟢 CRDB: Kutoka TZS 215 hadi Karibu 1,000 kwa Hisa 🟢 Mwaka 2021 nilinunua: •📅 Machi: Hisa 220 kwa TZS 225 •📅 Aprili: Hisa 230 kwa TZS 215 ✅ Zililipwa zote. Zikakamilika zote. Leo mwaka 2025, bei ya hisa moja imekaribia TZS 1,000. Nikiangalia nyuma naona fursa, lakini

🟢 CRDB: Kutoka TZS 215 hadi Karibu 1,000 kwa Hisa 🟢

Mwaka 2021 nilinunua:
•📅 Machi: Hisa 220 kwa TZS 225
•📅 Aprili: Hisa 230 kwa TZS 215
✅ Zililipwa zote. Zikakamilika zote.

Leo mwaka 2025, bei ya hisa moja imekaribia TZS 1,000.

Nikiangalia nyuma naona fursa,
lakini
THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Hatma ya maisha yako haipo mikononi mwa watu, historia au bahati ipo mikononi mwako mwenyewe, kupitia… -Mawazo unayoruhusu kichwani mwako -Imani unazojenga au kuamini -Maamuzi unayochukua kila siku -Mtazamo wako kwa matatizo, vikwazo, na fursa Master your FATE.

Bashiri Abdallah (@bashiriabdallah) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA SUBRA, SUBRA, SUBRA NIMERIPOTI POLISI KITUO CHA TARIME MJINI KWA MAHOJIANO. MAHOJIANO YALIHUSU KONGAMANO LA KITAIFA BAZECHA LITAKALOFANYIKA TAREHE 16/08/2025 TARIME MJINI. John Heche MNYIKA John John Chadema Tanzania Mnyawami Lucas Ngoto

TAARIFA KWA UMMA
SUBRA, SUBRA, SUBRA

NIMERIPOTI POLISI KITUO CHA TARIME MJINI KWA MAHOJIANO.

MAHOJIANO YALIHUSU KONGAMANO LA KITAIFA BAZECHA LITAKALOFANYIKA TAREHE 16/08/2025 TARIME MJINI.
John Heche MNYIKA John John Chadema Tanzania Mnyawami Lucas Ngoto
The brand wiz 👻 (@miracleboytz) 's Twitter Profile Photo

Kuna time nilifikiria kuacha copywriting. Nilikuwa naandika kila siku bila kuona breakthrough yoyote. Zero traction → Zero results → Ilikuwa depressing. Lakini leo nipo hapa bado naandika, bado nasukuma gurudumu. Na ukweli ni huu: Wanaofanikiwa ni wale wanaoendelea hata

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Account yetu imejitahidi sana kuinua morali ya wafanyabiashara wadogo na kuwatia moyo wale ambao bado hawajaanza. Tumeendelea kutoa practical tips za kuanza biashara ndogo kwa chochote ulicho nacho. Njia pekee ya kutusupport? Retweet na follow ili tuendelee kukua pamoja. 🙏🏽

Account yetu imejitahidi sana kuinua morali ya wafanyabiashara wadogo na kuwatia moyo wale ambao bado hawajaanza. Tumeendelea kutoa practical tips za kuanza biashara ndogo kwa chochote ulicho nacho. Njia pekee ya kutusupport? Retweet na follow ili tuendelee kukua pamoja. 🙏🏽
THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kijana kama unasoma huu ujumbe anza kuwekeza mapema. Muda ndio kila kitu Wekeza kwenye hisa Wekeza kwenye biashara Wekeza kwenye ujuzi na maarifa Wekeza kwenye aridhi na majengo Thamani yako inapimwa na kile unachomiliki. BE VALUABLE

Joseph Oleshangay (@oleshangay) 's Twitter Profile Photo

Kila press aliyofanya Tundu Antiphas Lissu mwezi mmoja kabla ya kushambuliwa, Mwita Waitara alikuwa amekaa pembeni. Baada ya Lissu kushambuliwa, Waitara akaenda CCM na kupewa unaibu waziri. Tusishangae mashahidi wa ma box wakiwa watu ambao kwa muda mrefu wamekuwa watu wa karibu ya Lissu

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kafara ya kuhairisha maamuzi makubwa itoe mapema kabla haijakutoa wewe. Fanya maamuzi magumu sasa •Anza hiyo biashara •Achana na tabia mbaya •Wekeza kwenye elimu ya fedha •Kuwa toleo bora zaidi ya jana yako •Ondoka kwenye mazingira yasiyokusaidia USIWE WA KAWAIDA.