Innocent Parsalaw (@iparasalaw) 's Twitter Profile
Innocent Parsalaw

@iparasalaw

Co-Founder at Diplomacy for Youth Development Organization (DYDO)||Business Development Manager at Think Tank Investment Limited

ID: 822114654696730625

linkhttps://dydotz.org calendar_today19-01-2017 16:13:02

3,3K Tweet

291 Followers

99 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi. Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. Katika kipindi

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi.

Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. 

Katika kipindi
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya shukrani kutoka kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuwahutubia wananchi wa Nyashimo, Busega mkoani

Matukio mbalimbali kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Chuo cha ufundi Kalwande, Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KIGONGO BUSISI, ILANI IMETEKELEZWA🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/25 *Ibara 55 (d) (i)* - CCM ilielekeza Serikali kuendeleza shughuli za Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ili kuifanya Sekta ya Ujenzi ifikie malengo yake ya Kuwawezesha Wananchi kuendelea na uzalishaji kwa

KIGONGO BUSISI, ILANI IMETEKELEZWA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/25 *Ibara 55 (d) (i)* - CCM ilielekeza Serikali kuendeleza shughuli za Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ili kuifanya Sekta ya Ujenzi ifikie malengo yake ya Kuwawezesha Wananchi kuendelea na uzalishaji kwa
Innocent Parsalaw (@iparasalaw) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Mama. Having you as our president is truly a blessing. Asante kwa bidii ya kazi na kwa kututumikia bila kujali itikadi za kisiasa na utofauti katika imani. Asante kwa huduma za kijamii bila kujali tofauti za kikanda & kikabila. Asante kwa R4. PRAYING FOR YOU Mh. Rais

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kufanikisha jawabu la changamoto ya maji kwa wananchi 450,000 kwa kuzindua Mradi wa Maji wa Butimba, nilipata wasaa kuzungumza na wananchi katika Uwanja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kirumba. Imekuwa jioni nzuri Jijini Mwanza, tukimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa

Salim Kikeke (@salym) 's Twitter Profile Photo

Hii hapa original version. Shangazi Maria Sarungi Tsehai et al- The other one felt edited kwa sababu capcut (ni app😎) ilikuwa inagenerate subtitles na kuruka gaps!! Mnioneshe kitu gani kimekuwa edited.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini. Niendelee kumsihi

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.
Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

To underestimate the depth of political intellectualism possessed by someone who has maintained an unbroken presence in the Central Committee since 2002 is, perhaps, the gravest miscalculation Polepole and his allies have committed. Her ascent was neither accidental nor

To underestimate the depth of political intellectualism possessed by someone who has maintained an unbroken presence in the Central Committee since 2002 is, perhaps, the gravest miscalculation Polepole and his allies have committed. 

Her ascent was neither accidental nor
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa Njia ya Mtandao unaofanyikia katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.

KAMATI KUU CCM YAMALIZA KIKAO MUDA HUU Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Wajumbe wa Kamati Kuu wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.

Innocent Parsalaw (@iparasalaw) 's Twitter Profile Photo

Reasoning ability yake inafikirisha. Hana uwezo wa kutengeneza hoja au kujibu hoja kwa hoja. Ni petty dictator huyo. Anataka sote tufikiri kama yeye, ukiwa na fikra kinzani na zake, utaambulia matusi au block. Ni mwepesi mno ndio sababu haoni shida kufanya alichofanya Judith.