Martin Maranja Masese
@iamartin_
MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |
ID: 126657061
https://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr 26-03-2010 15:32:42
146,146K Tweet
551,551K Followers
1,1K Following
Binafsi nakubaliana na Ally Bananga. HANGAYA anahubiri 4R, wafuasi wake wanahubiri pang’ang’a. Wanatangaza amani wakati yameficha mapanga kwenye koti. Hivyo kiwakeeee, halafu mapolisi wakae pembeni, watuache tukinukishe na MaCCM. Tuone itaishaje. TUTAWALOMBAAAAA mbaya mbovu.
. EastAfricaRadio siyo sawa mainstream media kuficha maoni ya wateja. Kama mngelikuwa hamtaki maoni, msingeleta maoni ya watangazaji wenu. Mlitumia kigezo gani kuwapa kazi KISA na huyo kubwa jinga mwenye koti la suti? Waombeni Chama Cha Mapinduzi wampe kazi KISA, kichwani ni debe tupu.
CCM acheni kuhangaika. Umbea hauwezi kuwasaidia. Hamuwezi kuvunja heshima ya Edwin Odemba kwa uzushi na uongo. Katibu Mkuu wenu, Emmanuela Nchimbi alikimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu. Kitu cha kumsaidia, tunamtaka katika mdahalo. Ph.D asiogope midahalo. Au Ph.D ya hapa na pale?
Ndugu na rafiki yetu, Boniface Jacob, Boniface Jacob ametangaza nia yake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani (Dar es Salaam na Pwani). Alhamisi, Septemba 05, 2024 atarejesha fomu yake Ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. Atarejesha fomu kwa sauti kubwa. Karibuni.
Rais Samia Suluhu kama ‘Mkuu wa Serikali’ kwanini usione hii siyo sahihi? Kwanini usiwekeze nguvu katika kurekebisha Sheria ya Kodi na bajeti kuu ya Serikali kuliko hizi siasa za Instagram? Tujadili pamoja. 1. Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inayotozwa katika
Sheikh Ally Mohammed Kadogoo, mwanachama wa CHADEMA. Hakika, tunajitosheleza bablai, tunazo mashine za kutosha. Karibu, sikiliza nondo zake mujarabu hapa. MUHIMU; Nipo hapa kuwajulisha kwamba, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA, kanda ya Pwani.
Kiongozi wa chama cha upinzani Uganda cha National Unity Platform, Robert Kyagulanyi Ssentamu, BOBI WINE amepigwa risasi mguuni jioni hii na askari wa Dikteta Museveni. Taarifa hizo zimethibitishwa na mlinzi wake Eddie Mutwe. Upinzani Uganda wanapitia tanuru la moto kama tunalipotia Tanzania
Msanii wa muziki wa Uganda, #KingSaha amemtembelea hospitali kiongozi wa upinzani Uganda, BOBI WINE, ambaye alikuwa hospitali akiuguza jeraha la risasi aliyopigwa na askari wa Dikteta Yoweri Museveni. PS; Tundu Antiphas Lissu alipopigwa risasi, kuna msanii alimtembelea popote? ANY?
Hii ni leo Boniface Jacob akirudisha fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani (Dar es Salaam na Pwani). Uchaguzi wa ndani wa chama. Tumetanua misuli kidogo (1) kutuma salamu kwa MaCCM (2) kuwaonesha watawala umma ambao tunakwenda kuongoza kwa miaka mitano ijayo. ✌️
Kila hatua DUA. 🙏🏾 Leo mwanetu Boniface Jacob amerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Huo ni umma wakiwepo wajumbe/wapiga kura waliamua kumsindikiza kurejesha fomu hiyo katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. #TunarejeaKwaKishindo.