Enemy of Wickedness 🇸🇴(@Enemy_19) 's Twitter Profileg
Enemy of Wickedness 🇸🇴

@Enemy_19

Unknown

ID:1105429909017714689

calendar_today12-03-2019 11:26:42

8,1K Tweets

1,4K Followers

782 Following

mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Nani nimtengenezee tende shake leo😋😋😋
Mkifika 20 natengeneza😂😂
Lazima tutengeneze uanaume kiasili🤝

account_circle
BRAYOO🇹🇿(@brayoo_2023) 's Twitter Profile Photo

Huyu anawaibia sana watu kule Telegram 🤣🤣🤣eti anazijua dakika za kula aviator matako yake jero yangu imeenda kufata dakika alizosema🤣🤣🤣

Huyu anawaibia sana watu kule Telegram 🤣🤣🤣eti anazijua dakika za kula aviator matako yake jero yangu imeenda kufata dakika alizosema🤣🤣🤣
account_circle
Enemy of Wickedness 🇸🇴(@Enemy_19) 's Twitter Profile Photo

Uzuri Ney siku hizi siyo mnyonge Tena,

Sasa wewe mtu humjui ni picha tu umeiona unaaza kuandika vitu vya kijinga 🤣🤣

Hii nchi kuna watu akili hawana kabisa Yani 🚮🚮

account_circle
𝐍🥀(@xnemmyy) 's Twitter Profile Photo

Mathayo 7:7 “Ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtapata, bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye
hupewa, atafutaye hupata, na abishaye
mango hufunguliwa.

account_circle
Jackie(@JWEZEE) 's Twitter Profile Photo

Just wondering why we can’t build our 1beds and self-contained like this in Nigeria.

Secondly how much can you pay a year for this 1bed room apartment?

account_circle
Eddo Lalika(@EddoLalika) 's Twitter Profile Photo

Tuliwaambia kabla hamja enda kwenye mialiko ya Eid jifunzeni angalau salamu tu. Angalieni ndugu yetu yaliyo mkuta hapa😂😂😂

account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Wahovyo Emergency Award 2024 inawaletea Vita Bora, Kuna uwezekano hakuna Vita ikaTOP hii, japo imepigwa viwanja viwili tofauti ila kila mmoja kapata Makonde yake na wote tumeshuhudia, ndugu wafatiliaji waiteni hawa Majabari Waje kupokea Tuzo yao 😂😂

Tebbe 🫦(@ms_tebbe) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni wote mnaonisuport Mungu asiwapungukie mifuko yenu
Hata wale ambao bado hamkujaaliwa bado,Mungu awaongezee,Amen
Nawapenda 🙏🏻

Ahsanteni wote mnaonisuport Mungu asiwapungukie mifuko yenu Hata wale ambao bado hamkujaaliwa bado,Mungu awaongezee,Amen Nawapenda #moyowashukrani🙏🏻
account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Mitandaoni wengi tupo kupata furaha ambayo tumeikosa kitaa, tupo kujifanya wababe ambao hatuuwezi kuufanya mtaani, tupo kujipa umuhimu ambao hatuna mtaani, kuonesha mafanikio ambayo hatuna sio ajabu kuona Aliyefeli maisha anamcheka aliyefeli form 4 🫵

account_circle
Eddo Lalika(@EddoLalika) 's Twitter Profile Photo

Nakuletea RAV 4 Kili Time Mali ya Muhindi ikitoka nyumbani inaenda dukani Mali safi kabisa IPO SOKONI bei mseleleko tu kitonga kama kumsukuma mlevi. Karibuni Wateja 😊😊🔥🔥

Nakuletea RAV 4 Kili Time Mali ya Muhindi ikitoka nyumbani inaenda dukani Mali safi kabisa IPO SOKONI bei mseleleko tu kitonga kama kumsukuma mlevi. Karibuni Wateja 😊😊🔥🔥
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Kamanda wangu sasa Jeshi linakuvua cheo cha BRIGEDIA JENERALI na hivyo kuanzia leo Utaitwa “FIELD MARSHAL”

Unaweza sasa kutumia Jina rasmi ya FIELD MARSHAL MTIKILA.

1. Nimeona umepigana vita 50 kwa wakati moja ndani ya saa 12 na bado upo “IMARA”

2. kwa Jicho la mbali mtu…

Kamanda wangu sasa Jeshi linakuvua cheo cha BRIGEDIA JENERALI na hivyo kuanzia leo Utaitwa “FIELD MARSHAL” Unaweza sasa kutumia Jina rasmi ya FIELD MARSHAL MTIKILA. 1. Nimeona umepigana vita 50 kwa wakati moja ndani ya saa 12 na bado upo “IMARA” 2. kwa Jicho la mbali mtu…
account_circle