Grace Matata (@gracematata) 's Twitter Profile
Grace Matata

@gracematata

Tanzanian Singer & Song Writer Management: @stargazemgmt PM: @msbrowntz 👇🏾Contact: (+255) 714 397 317 [email protected]

ID: 189848608

linkhttps://smarturl.it/getREBIRTH calendar_today12-09-2010 11:45:18

7,7K Tweet

30,30K Followers

359 Following

Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia wasanii hawa wanapiga Live usiache kwenda utabishukuru baadae. Wakazi Fid Q Nandy Mbosso Mwasiti Grace Matata Lady Jay Dee Sauti Sol Harmonize Diamond Platnumz Ali Kiba Barnaba Siti and the Band Kwa Bongo hapa hawa noma kabisa, kama uko na mwingine shusha👇🏽

Low Key (@lowkey67964705) 's Twitter Profile Photo

🎶 .......Wanaibuka watoto wasiojua maana ya muziki/ na usela wa misokoto michosho kwa mashabiki / harakati haraka waraka hauna tamati/ hizi nyanati za mashaka jiandae kuvutwa shati/ 🎧 Nyakati za mashaka -Kisu Cha Buchani #KCB ft Grace Matata

🎶 .......Wanaibuka watoto wasiojua maana ya muziki/

 na usela wa misokoto michosho kwa mashabiki /

 harakati haraka waraka hauna tamati/ 

 hizi nyanati za mashaka jiandae kuvutwa shati/ 

🎧 Nyakati za mashaka -<a href="/NikkiZohan/">Kisu Cha Buchani #KCB</a> ft <a href="/GraceMatata/">Grace Matata</a>
Grace Matata (@gracematata) 's Twitter Profile Photo

Huwa siposti picha za corporate events, ila jana we had so much fun kwenye cocktail party ya kumaliza Kongamano La Nishati Tanzania pale #hyattregency i had to 🤭 So happy to be back performing again, tuna show nyingine next week (nitashare details) i hope to see you there! 🚀

Grace Matata (@gracematata) 's Twitter Profile Photo

Tulikua na wakati mzuri sana pale #HyattKilimanjaro kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya 2024. Shukrani nyingi kwa wote mliojiunga na sisi. I speak more blessings and MONEY kwa mwaka 2024. HAPPY NEW YEAR 🎉