Low Key (@lowkey67964705) 's Twitter Profile
Low Key

@lowkey67964705

Old Hip Hop 🎢

Simba SC ⚽

Arsenal the Gunners πŸ’’

πŸ‘‰Stand still to the authority that respect me πŸ‘‡

Humor and relience πŸ˜ƒ

ID: 1493929257055236098

calendar_today16-02-2022 12:44:42

1,1K Tweet

336 Followers

963 Following

CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

OPPO Tanzania @Mavura_jr Napenda kuwatakia Heri ya CHRISTMAS na mwaka mpya wanafamilia ya OPPO Tanzania pamoja na watanzania wote kwa ujumla. Tuendelee kuchagua kampuni bora ya OPPO kwa simu kali za bei rafiki kwa kila mtu. #CloserWithOPPO

Low Key (@lowkey67964705) 's Twitter Profile Photo

🎢....kwa akili uzunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka.... Napambana ....... 🎧 Kwa akili yangu - π‘π€πŒπ€ 𝐃𝐄𝐄

🎢....kwa akili uzunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka....

Napambana ....... 

🎧 Kwa akili yangu - <a href="/ramadeeofficial/">π‘π€πŒπ€ 𝐃𝐄𝐄</a>
Low Key (@lowkey67964705) 's Twitter Profile Photo

Naona mama analia na mi ndiye namcharazia/ Mama anakuombea sana anategemea uje kumsaidia/ Nilitakiwa niwe nimekufa but now lakini wapi/ Waganga watakushusha Mungu ananipaisha/ Niko hai kwa sababu so usintaftie sababu / Mnataka mnione hivi hivi mpaka nikiwa babu/

Low Key (@lowkey67964705) 's Twitter Profile Photo

🎢 Album ya kwanza sijamaliza ndiyo naanza/ Miyeyusho kibao mbishi naendelea kukaza / Dk 0 - Geez Mabovu ft Joh Makini.

🎢 Album ya kwanza sijamaliza ndiyo naanza/ 

Miyeyusho kibao mbishi naendelea kukaza / 

Dk 0 - Geez Mabovu ft Joh Makini.
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Laiti Kama Ningepata Nafasi ya Kumhoji Shaaban Robert Na Esther Karin Mngodo Nasema hili kwa utani, japokuwa ninamaanisha – sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert. Kwa lugha ya siku hizi

Laiti Kama Ningepata Nafasi ya Kumhoji Shaaban Robert

Na Esther Karin Mngodo

Nasema hili kwa utani, japokuwa ninamaanisha – sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert. Kwa lugha ya siku hizi