Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profileg
Farhan Kihamu Jr

@FKihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzania

ID:4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

12,4K Tweets

396,1K Followers

979 Following

Zizzou 27🏁(@ZizzouSule) 's Twitter Profile Photo

Kwa mahesabu ya harakaharaka yule mnyakyusa babu wa Loliondo alipiga hela! Inatokea mara chache sana hii maishani…..

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Wakati msimu wa Ligi Kuu Bara umetamatika rasmi, tusaidiane vitu viwili tu.

1- Upi usajili mbovu zaidi wa Mchezaji kwa msimu huu ambaye promo kubwa ila uwezo zero.

2- Upi usajili bora zaidi msimu huu wa Ligi Kuu?

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza Anko wangu Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi akielezea sababu za tuzo kusogezwa mbele, sababu zimezidi kuniacha na maswali mengi sana.

1- Wanasema sababu ni UBORA, yani wanataka tuzo ziwe bora TFF sasa cha kujiuliza hapa ni kuwa tukio za tuzo limekuja

Nimemsikiliza Anko wangu Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi akielezea sababu za tuzo kusogezwa mbele, sababu zimezidi kuniacha na maswali mengi sana. 1- Wanasema sababu ni UBORA, yani wanataka tuzo ziwe bora TFF sasa cha kujiuliza hapa ni kuwa tukio za tuzo limekuja
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Kitaalam ni kuwa HAKUNA tuzo za msimu wa 2023/24 ila zitakuwepo tuzo za Msimu mpya wa 2024/25 ambapo tunaenda kuweka rekodi kama Taifa kuwa nchi ya kwanza duniani kugawa tuzo kabla ya msimu mpya kuisha😀

Kwahiyo mijadala yoyote ya tuzo kwasasa ni batili na tutaitambua kama

Kitaalam ni kuwa HAKUNA tuzo za msimu wa 2023/24 ila zitakuwepo tuzo za Msimu mpya wa 2024/25 ambapo tunaenda kuweka rekodi kama Taifa kuwa nchi ya kwanza duniani kugawa tuzo kabla ya msimu mpya kuisha😀 Kwahiyo mijadala yoyote ya tuzo kwasasa ni batili na tutaitambua kama
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

“Tatizo ni timu kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja, tatizo ni timu nzima na kama timu haijatulia mfano hata kwenye eneo la Utawala maana yake itaathiri timu nzima, sijui tatizo limetokea wapi haswa ila sio kitu kizuri na timu imeathirika, kila kitu ni maandalizi na namna

“Tatizo ni timu kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja, tatizo ni timu nzima na kama timu haijatulia mfano hata kwenye eneo la Utawala maana yake itaathiri timu nzima, sijui tatizo limetokea wapi haswa ila sio kitu kizuri na timu imeathirika, kila kitu ni maandalizi na namna
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa KANUNI ya 11 kuhusu VIKOMBE na TUZO za Ligi Kuu Bara inasema kuwa:

11) “Sherehe za tuzo zitafanyika ndani ya muda usiozidi siku tatu baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho”

Sasa kwanini TFF mnataka kuvunja hii kanuni? Wakati huo Klabu na Wachezaji wakivunja

Kwa mujibu wa KANUNI ya 11 kuhusu VIKOMBE na TUZO za Ligi Kuu Bara inasema kuwa: 11) “Sherehe za tuzo zitafanyika ndani ya muda usiozidi siku tatu baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho” Sasa kwanini TFF mnataka kuvunja hii kanuni? Wakati huo Klabu na Wachezaji wakivunja
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

“Lengo ni kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake”

Maana yake miezi zaidi ya tisa wakati ligi inachezwa haitoshi kujiandaa na hafla za tuzo kwa ubora zaidi?____😀

“Lengo ni kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake” Maana yake miezi zaidi ya tisa wakati ligi inachezwa haitoshi kujiandaa na hafla za tuzo kwa ubora zaidi?____😀
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

PEP GUARDIOLA NA SIR ALEX FERGUSON NI UCHAWI PEMBENI MWA ZIWA.

Ni katikati mwa mwaka 2008 wakati huo Wahudumu wa Jumba maalum la soka la Ulaya wenyewe hupenda kuliita UEFA Football House, korido zote zimepambwa na Makocha wakubwa wanaoenda kujadili mwelekeo wa soka la Ulaya,

PEP GUARDIOLA NA SIR ALEX FERGUSON NI UCHAWI PEMBENI MWA ZIWA. Ni katikati mwa mwaka 2008 wakati huo Wahudumu wa Jumba maalum la soka la Ulaya wenyewe hupenda kuliita UEFA Football House, korido zote zimepambwa na Makocha wakubwa wanaoenda kujadili mwelekeo wa soka la Ulaya,
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Tunaweza kukubaliana huu ndio msimu mbovu zaidi kwa Simba kwa miaka ya hivi karibuni?

Tumeona namna mpira wa miguu ulivyo katili? Timu iliyobeba tuzo ya Mashabiki bora kwenye African Football League ni ghafla sana Mashabiki wamepotea uwanjani na hamasa imeisha huo ndio mpira,

Tunaweza kukubaliana huu ndio msimu mbovu zaidi kwa Simba kwa miaka ya hivi karibuni? Tumeona namna mpira wa miguu ulivyo katili? Timu iliyobeba tuzo ya Mashabiki bora kwenye African Football League ni ghafla sana Mashabiki wamepotea uwanjani na hamasa imeisha huo ndio mpira,
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Kila dua iliyoombwa basi imejibiwa kwa namna tofauti, kifupi sana Sir God hakuwa na muda wa maombi mawili, ombi ni moja moja tu😀

Duah ya Mfungaji bora imejibiwa kuwa ni Aziz Ki na duah ya Champions League imeenda kwa Azam.

Basi ndio hivyo😀

Kila dua iliyoombwa basi imejibiwa kwa namna tofauti, kifupi sana Sir God hakuwa na muda wa maombi mawili, ombi ni moja moja tu😀 Duah ya Mfungaji bora imejibiwa kuwa ni Aziz Ki na duah ya Champions League imeenda kwa Azam. Basi ndio hivyo😀
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

SHINDA 1,000,000

Bashiri Matokeo ya Mechi zote 7 za Ligi kuu Bara leo na mkeka wako ukitiki, tutakuzawadia TSh 1,000,000 pesa taslimu.

bit.ly/TZPL7

SHINDA 1,000,000 Bashiri Matokeo ya Mechi zote 7 za Ligi kuu Bara leo na mkeka wako ukitiki, tutakuzawadia TSh 1,000,000 pesa taslimu. bit.ly/TZPL7
account_circle