Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile
Farhan Kihamu Jr

@fkihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group |

ID: 4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

14,14K Tweet

450,450K Followers

998 Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

“Timu yetu ina Wachezaji wengi wana umri mdogo, tupo kwenye transition wanahitaji muda naamini tutakuwa bora, kucheza na timu ambayo inajilinda wakati wote kama Ethiopia sio rahisi, Wachezaji wetu wamefanya sana kazi, Feisal Salum na wengine wote wamepambana sana tuwe nyuma ya

Mimi nadhani Msela wako akikutext MAMBO haisound, amalizie tu Mambo Vipi au Mambo niaje, sijui lakini kwanini kwangu naona mbaya Mwana akinitext “Mambo”😀

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Flamengo wanamhitaji huyu pale “Ninho De Urubu” wenyewe wakimaanisha “kiota cha tai” wanataka kurudisha mafaili ya mpira mguuni mwake kama walivyomrudishia Andres Pereira tu ambae karudi ulaya na anatamba na Fulham. Nikikumbuka wakati Mbappe anachipukia Monaco aliitwa “New

Flamengo wanamhitaji huyu pale “Ninho De Urubu” wenyewe wakimaanisha “kiota cha tai” wanataka kurudisha mafaili ya mpira mguuni mwake kama walivyomrudishia Andres Pereira tu ambae karudi ulaya na anatamba na Fulham. 

Nikikumbuka wakati Mbappe anachipukia Monaco aliitwa “New
Zizzou 27🏁 (@zizzousule) 's Twitter Profile Photo

Album ipi ilikonga sana nyoyo yako kutoka Tamaduni Muzik? P The Mc - Mwingi wa Habari Nikki Mbishi - Sauti ya Jogoo Stereo Singasinga - African Son One The Incredible- Soga Za Mzawa

Zizzou 27🏁 (@zizzousule) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu yuleyule aliyemchana Ten Hag baada ya game dhidi ya Brighton amerudi na disstrack ya pili baada ya mechi ya Liverpool 😂 Hebu kula michano hiyo ya Broken JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi 🎶

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

WAKABAJI WALIOANZA KWENYE KIKOSI CHA TAIFA STARS JANA. Lusajo Mwaikenda Mohamed Hussein Dickson Job Ibrahim Bacca Nickson Kibabage Himid Mao Novatus Dismas Kwenye kikosi cha wachezaji 11, Wachezaji saba wana sifa za ulinzi kisha wawili tu wa ndani wana utofauti, Feisal Salum

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

“Wasanii wengi hatupo Twitter kwakuwa kule unapaswa kutumia akili sana kabla ya kupost, sasa sisi Wasanii muda wa kutumia akili hatuna, kule pagumu sana” MC Pilipili kwenye SENTRO ya CLOUDS TV.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Bruno Fernandes amehusika na mabao 21 kwenye mechi 17 za mwisho za Portugal. Kuna namna wachezaji wa United wakiwa nje ya pale wanaonyesha sana uwezo au shida ya pale ni kama alivyosema De Gea? 😂

Bruno Fernandes amehusika na mabao 21  kwenye mechi 17 za mwisho za Portugal.

Kuna namna wachezaji wa United wakiwa nje ya pale wanaonyesha sana uwezo au shida ya pale ni kama alivyosema De Gea? 😂
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

ADMN wa Sporting Lisbon anajua kutamba🙌😀 kwa kifupi sana Sporting CP wanavimba sana na Mchezaji wao, jana wamefululiza posts kibao😀

ADMN wa Sporting Lisbon anajua kutamba🙌😀 kwa kifupi sana Sporting CP wanavimba sana na Mchezaji wao, jana wamefululiza posts kibao😀
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Tumeona barua inasema KAGOMA amesamehewa na sasa anaruhusiwa kuitumikia klabu yake, basi maswali kwa haraka yanakuja hapo hapo: 1- Ina maana Yusuph Kagoma hakuwa na uhalali wa kuitumikia Simba? 2- Kama jibu ni NDIO, mbona kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate alikuwepo kwenye

Tumeona barua inasema KAGOMA amesamehewa na sasa anaruhusiwa kuitumikia klabu yake, basi maswali kwa haraka yanakuja hapo hapo: 

1- Ina maana Yusuph Kagoma hakuwa na uhalali wa kuitumikia Simba? 

2- Kama jibu ni NDIO, mbona kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate alikuwepo kwenye
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

• Mussa Hassan Mgosi • Mrisho Halfan Ngasa Vipenzi vya mashabiki katika timu walizotumikia muda mrefu, leo tukumbushane matukio yao mazuri zaidi unayokumbuka hapa. Moja kati ya wazawa bora mno kutumikia ligi yetu. Ushabiki pembeni, yupi alikuvutia zaidi kama mtu wa mpira____?

• Mussa Hassan Mgosi 
• Mrisho Halfan Ngasa

Vipenzi vya mashabiki katika timu walizotumikia muda mrefu, leo tukumbushane matukio yao mazuri zaidi unayokumbuka hapa. Moja kati ya wazawa bora mno kutumikia ligi yetu. Ushabiki pembeni, yupi alikuvutia zaidi kama mtu wa mpira____?