mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profileg
mimilicious🌹🍒

@amina_hafidh

I don't give a damn💛💚💛💚yanga damudamu✌ madam influencer
Man U fan ❤💛❤💛
Muslim girl🧕mtoto wa ulamaar😌🕋

ID:1241332573495795713

calendar_today21-03-2020 11:55:41

177,1K Tweets

130,9K Followers

2,9K Following

Follow People
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA IMEOZA, MOTO ULIOWAKA HAUZIMIKI.

Thank you to the people kwenye circle ya chadema for the updates. 😂😂

Kumekuwa na taarifa kuwa Makatibu wa chama kwa ngazi ya kanda wamekuwa wakiiba mali za chama na kujisifia pasipokuwa na shaka yeyote na chama taifa hawajawahi…

account_circle
mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Our new banger is already here🔥🔥🔥
The waiting finally over
New hit from
@Chabajun
is out now gusa link👇

youtu.be/7llhUKYQ7sw?si…
Don't forget to stream on Audiomack👇
audiomack.com/chaba-junior/s… links on his bio

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

The criminal empire is crumbling and it’s beautiful to watch. ☺️☺️

Sebuleni wanasema hata makamu mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu unalamba asali ukiendelea kuhujumu chama soon watakuja hewani na taarifa kamili.

The criminal empire is crumbling and it’s beautiful to watch. ☺️☺️ Sebuleni wanasema hata makamu mwenyekiti @TunduALissu unalamba asali ukiendelea kuhujumu chama soon watakuja hewani na taarifa kamili.
account_circle
mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Maandamano yameshindwa kutimiza azma yake mpaka imefika hatua kwenye majukwaa yao wenyewe CHADEMA wana chafuana na kutoleana siri.

account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

Tangazo:

Karibu kwenye duka letu lenye kabati zenye ubora wa hali ya juu! Tuna milango minne na milango mitatu ya nguo, zote zikiwa imara na zenye muonekano wa kuvutia.

Bei nzuri! Pata milango 3 kwa Tsh 480k &Milango 4 kwa 600k

Tunapatikana Tabata Baracuda & Tabata Liwiti,👇

Tangazo: Karibu kwenye duka letu lenye kabati zenye ubora wa hali ya juu! Tuna milango minne na milango mitatu ya nguo, zote zikiwa imara na zenye muonekano wa kuvutia. Bei nzuri! Pata milango 3 kwa Tsh 480k &Milango 4 kwa 600k Tunapatikana Tabata Baracuda & Tabata Liwiti,👇
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ. #UhuruWaHabari
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kazi ya Utetezi (advocacy) imeanza kwa miaka takribani kumi kudai Sheria mpya ya habari yenye maslahi kwa waandishi na jamii kwa ujumla,' Shifaa Said, Afisa Mwandamizi, Baraza la Habari Tanzania (MCT) Zanzibar.

Nini kifanyike ili kupatikana ?

'Kazi ya Utetezi (advocacy) imeanza kwa miaka takribani kumi kudai Sheria mpya ya habari yenye maslahi kwa waandishi na jamii kwa ujumla,' Shifaa Said, Afisa Mwandamizi, Baraza la Habari Tanzania (MCT) Zanzibar. Nini kifanyike ili kupatikana #UhuruWaHabari?
account_circle