Edwin Soko
@edwinsoko4
senior Journalist
ID: 1197131026809704449
20-11-2019 12:34:30
309 Tweet
549 Takipçi
275 Takip Edilen
Hapa naipongeza Serikali kwa ufafanuzi huu lakini pia haitoshi lazima watendaji wa halmashauri ya Mji ifakara wachukulie hatua na waombe msamaha kwa upotoshaji. Pia wasome vizuri the Access to information Act na katiba pia . Nape Moses Nnauye Union of Tanzania Press Clubs OJADACT
Namwandikia barua rasmi Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na sheria Mh.Mhagama kumshawishi awasilishe muswada binafsi wa sheria ya ulinzi wa waandishi wa habari wanapotimiza majukumu yao walindwe na sheria ili wawe salama. Bunge la Tanzania
ATCL chukueni hatua kuondoka bad image kwa kuna kero kubwa kwa abiria wanao coonect kwa kutumia ndege za ATCL nimeachwa na Ethiopia Airline kwenda Capetown kwa uzembe wa ATCL kutokea Mwanza. Halafu mnahelewa kututafutia ndege nyingine. Air Tanzania
*Received H.E Huang Xia, Special Envoy of the UN Secretary-General for the Great Lakes Region. Discussed DRC. Shared H.E Samia Suluhu view on dealing with the root cause of the situation. We agreed to pursue complementarity of multiple political and military initiatives for DRC.*
Mwandishi Costantine Mathias wa Uhuru Media amekatwa na Jeshi la Polisi jana usiku, Mkoani Simiyu , baada ya kukaguliwa Nyumban8 na kunyang'anywa vifaa vya kazi alisafirishwa kupelekwa Mwanza. Ninatumai jeshi la Polisi litaweka wazi kukamatwa kwake Nape Moses Nnauye