Edison Myinga (@edisonmyinga1) 's Twitter Profile
Edison Myinga

@edisonmyinga1

Usimtendee mtu usichopenda kutendewa ..👟 | Dini ya kweli ni haki |

ID: 1413523757029855232

calendar_today09-07-2021 15:42:01

397,397K Tweet

3,3K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu kanipigia simu yuko sehemu kaniambia anasikia baridi, njaa (japo ameshiba) na joto kwa wakati mmoja. Nimemshauri arudi tuendeleze mapambano.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kuna kisa kimoja kwa Bible mtu alikwenda kuoa, akalimishwa shamba alipofika siku ya harusi akapewa mke tofauti, akaambiwa hapa uwezi oa binti yetu mdogo wakati mkubwa hajaolewa anyway nachojaribu kusema Abdul umepewa ambayo amkukubaliana, sasa huu uboya utaendelea mpaka lini na

Kuna kisa kimoja kwa Bible mtu alikwenda kuoa, akalimishwa shamba alipofika siku ya harusi akapewa mke tofauti, akaambiwa hapa uwezi oa binti yetu mdogo wakati mkubwa hajaolewa

anyway 
nachojaribu kusema Abdul umepewa ambayo amkukubaliana, sasa huu uboya utaendelea mpaka lini na
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kumbukeni kuwa kwenye maamuzi magumu, Mzee anapenda kupima upepo 🤣 ⁦Tundu Antiphas Lissu⁩ alituambia majibu aliyotoa alipoambiwa afanya maamuzi Naona kapima upepo safari hii vyema 👏🏽#TutaelewanaTu

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mama Tibaijuka, Nimesoma kwa makini sana simulizi yako kuhusu marehemu Spika Job Ndugai. Hakika ni jambo la utu na busara kumkumbuka mtu kwa mema yake, hasa baada ya kufariki dunia. Lakini pia ni wajibu wetu kama viongozi kusema kweli kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mama Tibaijuka,

Nimesoma kwa makini sana simulizi yako kuhusu marehemu Spika Job Ndugai. Hakika ni jambo la utu na busara kumkumbuka mtu kwa mema yake, hasa baada ya kufariki dunia. Lakini pia ni wajibu wetu kama viongozi kusema kweli kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mama ukiwa msomi mkubwa nataka nikukumbushe jambo ambalo pengine umesahau kwenye utetezi wako kuhusu Job Ndugai. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia kuna kesi maarufu sana kwa jina la “The Nuremberg Trial” kesi hii ilianza kusikilizwa November 1945 mpaka October 1946. Watu

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, umesahu haraka.. Wakati sisi tunasoma huko shule ya msingi tulikuwa tunakimbia mchaka-mchaka asubuhi. Katika mbio mbio zetu kuna nyimbo fulani tulikuwa tunaimbiashwa. Tulikuwa tunaimbishwa mdundo wa aina hii; “Idi Amini akifa, mimi siwezi

Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, umesahu haraka.. 

Wakati sisi tunasoma huko shule ya msingi tulikuwa tunakimbia mchaka-mchaka asubuhi. Katika mbio mbio zetu kuna nyimbo fulani tulikuwa tunaimbiashwa.

Tulikuwa tunaimbishwa mdundo wa aina hii; “Idi Amini akifa, mimi siwezi
Edison Myinga (@edisonmyinga1) 's Twitter Profile Photo

Katiba ya 1977 haijatoa haki ya mazingira safi kama haki ya kikatiba. Kwa kuwa mazingira safi si haki ya kikatiba, wananchi hawana nguvu ya kisheria kupinga mradi kama EACOP unaochafua mazingira yao #KataaEACOP #EACOPniTishio

PGO (Kanuni za Police ) haina kwa uwazi katika bajeti na matumizi ya fedha za polisi. Sheria haielekezi utoaji wa taarifa za bajeti au matumizi ya rasilimali kwa umma, hivyo kuruhusu ubadhirifu na matumizi mabaya #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) haizingatii mazingira ya kidijitali na uhalifu wa kisasa. Sheria haijajumuisha masuala ya uhalifu mtandao, ushahidi wa kidijitali, au uchunguzi unaotegemea teknolojia mpya #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Polisi kutokuwajibika mbele ya Bunge au mashirika huru ya kiraia ni madaifu ya PGO (Kanuni za Police ). Sheria hii haielekezi utaratibu wa polisi kutoa taarifa kwa wawakilishi wa wananchi au vyombo huru vya uchunguzi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) haijapanga kisheria namna ya polisi kushirikiana na wananchi kwa misingi ya usawa katika ulinzi shirikishi (community policing). Hivyo imekosa ushirikishwaji wa jamii katika shughuli za ulinzi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) imekosa uwiano kati ya nguvu na maadili. Sheria inasisitiza mamlaka zaidi ya maadili, na hivyo kutoa mwanya wa uonevu kwa wananchi kwa kisingizio cha utekelezaji wa sheria #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Investment laws in Tanzania do not require contracts to be reviewed by Parliament. The EACOP contracts were made secretly without parliamentary debate, revealing significant weaknesses in judicial and parliamentary oversight systems #KataaEACOP #EACOPniTishio

Sheria za uwekezaji Tanzania hazihitaji mikataba kufanyiwa mapitio na Bunge. Mikataba ya EACOP ilifanywa kwa siri bila kujadiliwa bungeni, hali inayoonyesha udhaifu mkubwa katika mifumo ya udhibiti wa kimahakama na kibunge #KataaEACOP #EACOPniTishio

The 1977 Constitution does not recognize the right to a clean environment as a constitutional right. Since a clean environment is not a constitutional right, citizens lack the legal power to oppose projects like EACOP that pollute their environment #KataaEACOP #EACOPniTishio