Dunia🌍 (@duniaslavedunia) 's Twitter Profile
Dunia🌍

@duniaslavedunia

Mungu wetu ni Mmoja na anatusikiliza Sote.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu siwezi kua mtumwa wa fikra bali niwe msema kweli na mpigania haki za Watanzania wote🙏

ID: 1195770605737521154

linkhttp://music.com calendar_today16-11-2019 18:28:46

184,184K Tweet

33,33K Takipçi

7,7K Takip Edilen

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Itume kwa barua pepe [email protected] Anwani andika: FIFA Ethics Committee FIFA-Strasse 20 P.O. Box 8044 Zurich, Switzerland Andika kwa kiingereza na unaweza kuweka hiki kipengele: 👇🏾 The actions of

tems 𝖘z𝖓 (@temsszn) 's Twitter Profile Photo

What a moment! Tems performing at Wembley Stadium (90,000 capacity) 🏟️ Watching her achieve these feats in real time always feels so surreal ❤️‍🔥🥹

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi, kuna kuwajibishana tu 🔥 Asante Polepole! Maridhiano watafute SASA au acha tupambane tuwatoe hata kama baadaye kwa kuchelewa ila si kutuumiza maksudi alafu mnatafuta muafaka - sisi si wajinga! 🚮 Kiburi tu! Nchi ni yetu sote si ya genge lenu

Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi, kuna kuwajibishana tu 🔥
Asante Polepole! 
Maridhiano watafute SASA au acha tupambane tuwatoe hata kama baadaye kwa kuchelewa ila si kutuumiza maksudi alafu mnatafuta muafaka - sisi si wajinga! 🚮 Kiburi tu! Nchi ni yetu sote si ya genge lenu
FootballKE🇰🇪⚽️ (@footballke_90) 's Twitter Profile Photo

Drama in Tanzania as the game was temporary stopped during the City FC Abuja vs JKU FC match when bees flew over the pitch in the 77th minute 🤣 #FootballKE

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Baba yake alitokea Colombia, yeye amesoma International School of Tanganyika (IST) kisha akaenda kwa masomo ya juu USA na UK. Kisha akarudi kuitumikia nchi yake. Barbara Gonzalez, binti aliyefanikiwa kuwa CEO wa Simba akiwa na miaka 30 tu ameteuliwa tena kuwa mjumbe bodi ya SIMBA

Baba yake alitokea Colombia, yeye amesoma International School of Tanganyika (IST) kisha akaenda kwa masomo ya juu USA na UK. Kisha akarudi kuitumikia nchi yake. Barbara Gonzalez, binti aliyefanikiwa kuwa CEO wa Simba akiwa na miaka 30 tu ameteuliwa tena kuwa mjumbe bodi ya SIMBA
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Maxence M. Melo, Maxence M. Melo Executive Director of Jamii Forums anasema kwamba kuna uvamizi umefanyika katika ofisi za Makao Makuu ya Jamii Forums zilizopo Mikocheni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa yake, wavamizi hao katika ofisi hizo walikuwa wakimtafuta Maxence.

Maxence M. Melo, <a href="/macdemelo/">Maxence M. Melo</a> Executive Director of Jamii Forums anasema kwamba kuna uvamizi umefanyika katika ofisi za Makao Makuu ya <a href="/JamiiForums/">Jamii Forums</a> zilizopo Mikocheni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa yake, wavamizi hao katika ofisi hizo walikuwa wakimtafuta Maxence.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mnakumbuka juzi baada ya POLEPOLE kuongelea ishu ya huyu KIBONGE wa Zimbabwe kuizoea IKULU YETU? Sasa huyu KIBONGE ndio sababu ya leo JAMII FORUM kuvamiwa na vyombo vya usalama. Ilikuwa hivi. Jamii Forums ni jukwaa kama lilivyo jukwaa la Twitter (X). Watu huko wanaweka post

Mnakumbuka juzi baada ya POLEPOLE kuongelea ishu ya huyu KIBONGE wa Zimbabwe kuizoea IKULU YETU?

Sasa huyu KIBONGE ndio sababu ya leo JAMII FORUM kuvamiwa na vyombo vya usalama. Ilikuwa hivi.

<a href="/JamiiForums/">Jamii Forums</a>  ni jukwaa kama lilivyo jukwaa la Twitter (X). Watu huko wanaweka post
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Msivimbe saaana wakati mko peke yenu maCCM… Hebu cheki huu ndio MTITI wa CHADEMA wa LISSU alipokuja Mbeya kwenye kampeni yake ya Urais 2020! NB: Na hawa ni wananchi halisi, hakuna aliyebebwa kwa lori wala guta hapo! 😎 #NoReformsNoElection #FREELISSU

Msivimbe saaana wakati mko peke yenu maCCM… 
Hebu cheki huu ndio MTITI wa CHADEMA  wa LISSU alipokuja Mbeya kwenye kampeni yake ya Urais 2020!
NB: Na hawa ni wananchi halisi, hakuna aliyebebwa kwa lori wala guta hapo! 😎
#NoReformsNoElection
#FREELISSU
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Rais Trump amesaini amri ya kuibalisha jina Wizara ya Ulinzi kuwa Wizara ya Vita. Sasa Marekani hawatakuwa na Wizara ya Ulinzi bali watakuwa na Wizara ya Vita.

Rais Trump amesaini amri ya kuibalisha jina Wizara ya Ulinzi kuwa Wizara ya Vita. Sasa Marekani hawatakuwa na Wizara ya Ulinzi bali watakuwa na Wizara ya Vita.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

“Mimi sikudhani kuwa jitihada zote hizi nilizozifanya nia yake ilikuwa ni kujenga taifa la watu WAOGA sana, haikuwa nia yangu hiyo. Kama matokeo yake ni hayo, mimi nasema mwenyezi MUNGU nisamehe”Mwalimu JK Nyerere

“Mimi sikudhani kuwa  jitihada zote hizi nilizozifanya nia yake ilikuwa ni kujenga taifa la watu WAOGA sana, haikuwa nia yangu hiyo. Kama matokeo yake ni hayo, mimi nasema mwenyezi MUNGU nisamehe”Mwalimu JK Nyerere
Shija S.S.Shibeshi (@shijashibeshi) 's Twitter Profile Photo

Muda huu Maeneo ya kibosho Road,Jeshi la Polisi limewazuia Watanzania waliokuwa wanaenda Kijijini Kumsalimia Bibi yake na SOKA. Akumbukwe SOKA Hajulikani alipo kwa Mwaka Mzima sasa, lakini Polisi wameamua KUZUIA hata watu wanaenda kuiona familia yake.

Muda huu Maeneo ya kibosho Road,Jeshi la Polisi limewazuia Watanzania waliokuwa wanaenda Kijijini Kumsalimia Bibi yake na SOKA.
Akumbukwe SOKA Hajulikani alipo kwa Mwaka Mzima sasa, lakini Polisi wameamua KUZUIA hata watu wanaenda kuiona familia yake.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Huyu jamaa tunampa jina gani watanzania? 🤣🙌🏽 Ila lijamaa uki google tu ana kashfa kibao za mauchafu na anajitapa eti ni Gold Mafia! Ndo mjiulize huko Ikulu anavyojiachia na Samia Suluhu kulikoni? Haya nipeni jina tuanze kutumia #TutaelewanaTu

Huyu jamaa tunampa jina gani watanzania? 🤣🙌🏽 
Ila lijamaa uki google tu ana kashfa kibao za mauchafu na anajitapa eti ni Gold Mafia!
Ndo mjiulize huko Ikulu anavyojiachia na <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kulikoni?
Haya nipeni jina tuanze kutumia 
#TutaelewanaTu