Ms. Liwenga (@dejoli08) 's Twitter Profile
Ms. Liwenga

@dejoli08

ID: 475196495

calendar_today26-01-2012 20:00:12

89,89K Tweet

2,2K Followers

587 Following

M a n o t i (@madeinmusoma) 's Twitter Profile Photo

Leo, DOMINIKA YA 5 YA PASAKA – MWAKA C, kanisani tumefundishwa kuwa maisha ya Kikristo yanajengwa juu ya upendo wa kweli ambao Yesu alituagiza tuishi. Upendo huu unatuongoza kuonyesha fadhili, kusameheana, na kuwa tayari kujitoa kwa wengine bila masharti. Kwa njia hii,

Ms. Liwenga (@dejoli08) 's Twitter Profile Photo

Katoto kenyewe kanashangaa, birthday za watoto sikuiz wahudhuriaji 90% ni watu wazima tena usiku 🌚🌚🌚

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Leo hii Balozi wa Tanzania nchini Vatican mwenye makazi yake nchini Ujerumani yaani Balozi Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha salamu za pongezi za Rais Samia kwa Papa Leo XIV.

Leo hii Balozi wa Tanzania nchini Vatican mwenye makazi yake nchini Ujerumani yaani Balozi Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha salamu za pongezi za Rais Samia kwa Papa Leo XIV.
Mchachu, PhD🐐 (@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu amekopa kiwanja analipa kidogo kidogo mwaka mzima. Na kuna mtu amekopa simu analipa kidogo kidogo mwaka mzima. Kisha tunalalamika maisha magumu...πŸ˜ŽπŸ™Œ

Ms. Liwenga (@dejoli08) 's Twitter Profile Photo

Ila Simba ina drama yote hii nikutafuta justification ya kukosa hilo kombe wasingizie kisa uwanja mweh 🀭🀭🀭

Rasta Pele Jr (II) (@pelealphachalie) 's Twitter Profile Photo

Undalani walicheza na Semi final na Marumo iliyokuwa nafasi ya 14 ligi ya SA then fainali wakacheza na USM iliyokuwa nafasi ya 12 kwenye ligi yake. Kwahiyo undalani ndio alipita njia ngumu…Huwa Hawaoni aibu?πŸ˜‚

Ms. Liwenga (@dejoli08) 's Twitter Profile Photo

Lmao mashabiki wa Uto ni vituko vya dunia Timu imeshinda fainali na imekosa kombe inajitapa aibu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚