
BOB
@cpbbob
ID: 3145235374
07-04-2015 19:14:16
12,12K Tweet
851 Followers
638 Following




"Chama pekee kinachoweza kuita watu kikazungumza na wananchi ni Chadema." Mhe. John Heche

"Kuna watu walikuwa Chadema kumbe malengo yao yalikuwa kuwa wabunge na madiwani, interest hizi zinapishana na wananchi." Mhe. John Heche






Kaimu Katibu Mkuu Mhe. MNYIKA John John aeleza sababu za kutokuwa na imani na Jaji Hamidu Mwanga na kumtaka ajitoe katika kuendesha kesi inayomkabili pamoja na Bodi ya Wadhamini ya Chama.



"On Love, One Heart" Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwa Mahakama Kuu leo tarehe 11 Julai 2025.


Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.


