Chundajr7(@Chundajr1) 's Twitter Profileg
Chundajr7

@Chundajr1

Freedom hunter Scorpio king 🦂
Man with lots of of vision 🙏💪
#Barcelona & #Yanga 🙌⚽️

ID:985052292469657600

calendar_today14-04-2018 07:09:02

17,8K Tweets

6,6K Followers

3,2K Following

𝐢𝐚𝐦_𝐬𝐢𝐭𝐭𝐲 💚🇹🇿(@iam_sitty) 's Twitter Profile Photo

Idris Dear Idris, Naitwa Mwasiti, Ninauza Magauni ambayo inakua taratibu kulingana na eneo nililopo hivyo kushindwa kufikia lengo kwa sababu ya kutokuwa na mtaji wa kutosha. Natamani kupata eneo lingine lenye ushindani ili kuboresha biashara iweze kujiendesha yenyewe.

Ahsante...!😊

@IdrisSultan Dear Idris, Naitwa Mwasiti, Ninauza Magauni ambayo inakua taratibu kulingana na eneo nililopo hivyo kushindwa kufikia lengo kwa sababu ya kutokuwa na mtaji wa kutosha. Natamani kupata eneo lingine lenye ushindani ili kuboresha biashara iweze kujiendesha yenyewe. Ahsante...!😊
account_circle
𝘾𝙝𝙖𝙧𝙡𝙚𝙨 𝙗𝙞𝙘𝙠 21(@charlsbick) 's Twitter Profile Photo

cashmetanzania Kuelekea Msimu Wa Wapendanao Napenda Kuwatakia Na Kuwaombea Wadau Na Wanafamilia ya cashmetanzania Mafanikio Tele Na Baraka Tele katika kuelekea valentine day hii ya 2024.

Naomba repost yako hapa niweze kumshindia mama angu zawadi hii ya samsang.

account_circle
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

OFA YA KUFUNGA MWEZI WA 9
Ofa ya usafiri bure kwa wateja wangu wa dagaa na samaki mjini Daslam

Ofa hii inaanza sasa mpaka tarehe 30/09/2023

Neypaul🤎 anafanya delivery ya oda mnazotoa wakazi wa Dar es Salaam, karibuni sana 0759855572

OFA YA KUFUNGA MWEZI WA 9 Ofa ya usafiri bure kwa wateja wangu wa dagaa na samaki mjini Daslam Ofa hii inaanza sasa mpaka tarehe 30/09/2023 @Neypaul01 anafanya delivery ya oda mnazotoa wakazi wa Dar es Salaam, karibuni sana 0759855572
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Hello Good morning wapenzi naomba Repost Yako pindi uonapo post hii Plz

🎯.Jipatie jeans Original Rangi zote na size zote zisizopauka Kwa sh 27000

🎯.T shirt nzuri na nzito pia Kwa sh 22000

🎯.Dar unapokea mzigo wako ndani ya masaa mawili mpaka matatu Mikoani ni ndani ya

Hello Good morning wapenzi naomba Repost Yako pindi uonapo post hii Plz 🎯.Jipatie jeans Original Rangi zote na size zote zisizopauka Kwa sh 27000 🎯.T shirt nzuri na nzito pia Kwa sh 22000 🎯.Dar unapokea mzigo wako ndani ya masaa mawili mpaka matatu Mikoani ni ndani ya
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

WASUSI KONKI MNATAFUTWA HAPA🔥🔥

katika kuimarisha sanaa ya urembo nchini Tanzania wasusi mbalimbali wa mkoa wa dar es salaam wanatarajia kushindana kuwania taji la MSUSI
WETU na ANGELS HAIR TANZANIA

Shindano hili linawapa nafasi wasusi kupata ajira ya kudumu katika kampuni

WASUSI KONKI MNATAFUTWA HAPA🔥🔥 katika kuimarisha sanaa ya urembo nchini Tanzania wasusi mbalimbali wa mkoa wa dar es salaam wanatarajia kushindana kuwania taji la MSUSI WETU na ANGELS HAIR TANZANIA Shindano hili linawapa nafasi wasusi kupata ajira ya kudumu katika kampuni
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

'Ukitaka kufungua account ya DTB TanzaniaUnatakiwa kuwa..... 👇

🎯.Kitambulisho chako Cha Taifa(NIDA) Au Namba ya NIDA

🎯.Picha aina ya Passport Size

🎯.Kianzio Cha kufungulia Account ni Tsh 10000 Na unaweza kuweka zaidi kulingana na unavyotaka wewe

🎯.Tembelea Tawi la DTB

'Ukitaka kufungua account ya DTB TanzaniaUnatakiwa kuwa..... 👇 🎯.Kitambulisho chako Cha Taifa(NIDA) Au Namba ya NIDA 🎯.Picha aina ya Passport Size 🎯.Kianzio Cha kufungulia Account ni Tsh 10000 Na unaweza kuweka zaidi kulingana na unavyotaka wewe 🎯.Tembelea Tawi la DTB
account_circle
Headboy wa mtaa(@Sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

💨 CHAPATI ZA DUBAI 💥

▪️Pixel 4a (6+128) - 350K
▪️Pixel 4a 5G (6+128) - 400K
▪️Pixel 5 5G (8+128) - 450K
▪️Pixel 6a (6+128) - 700K
▪️Pixel 6 (8+128) - 750K
▪️Pixel 7 Pro (12+512) - 1.9m

📍Infinix Tower, Kariakoo
Njiwa Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757

💨 CHAPATI ZA DUBAI 💥 ▪️Pixel 4a (6+128) - 350K ▪️Pixel 4a 5G (6+128) - 400K ▪️Pixel 5 5G (8+128) - 450K ▪️Pixel 6a (6+128) - 700K ▪️Pixel 6 (8+128) - 750K ▪️Pixel 7 Pro (12+512) - 1.9m 📍Infinix Tower, Kariakoo @Njiwa_Store 📞 0745100757 wa.me/+255745100757
account_circle
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Sasa Rasmi chaneli ya Mambo Moto Iko ndani ya kifurushi cha Bomba kwa sh 24,000 furahia tamthilia zako pendwa ndani ya Bomba

Sasa Rasmi chaneli ya Mambo Moto Iko ndani ya kifurushi cha Bomba kwa sh 24,000 furahia tamthilia zako pendwa ndani ya Bomba #UtamuNiBomba #Unakosaje
account_circle
Eddo(@Eddo142) 's Twitter Profile Photo

Pls RT🙏💯

🧑‍💻HP ELITEBOOK 1040 G7

Wazee wa kazi ngumu kitu ni G7 halafu generation ya 10.

🤹‍♂️Am sure hiyo 2.5M mmeiona mpaka mnanihurumia

hebu cheki hizo specs kwaanza👇

wa.me/p/975291470811…

Watu 9 wa mwanzo ni punguzo 92,000Tsh

wa.me/+255716925732

12 Laptop HQ

Pls RT🙏💯 🧑‍💻HP ELITEBOOK 1040 G7 Wazee wa kazi ngumu kitu ni G7 halafu generation ya 10. 🤹‍♂️Am sure hiyo 2.5M mmeiona mpaka mnanihurumia hebu cheki hizo specs kwaanza👇 wa.me/p/975291470811… Watu 9 wa mwanzo ni punguzo 92,000Tsh wa.me/+255716925732 @12_laptop_hq
account_circle
chuga girl❣️(@Lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

LAPTOP AMBAYO NI SIMU🙄🙄

Leo nakuletea hiki chuma ambacho unaweza kukigeuza kama simu ukitaka muda wowote

Angalia specs👇👇

wa.me/p/558112256532…

Bei ni 800,000Tsh kwa 900,000Tsh

wa.me/+255716925732 or
DM me for more information ❤
karibu🙏

LAPTOP AMBAYO NI SIMU🙄🙄 Leo nakuletea hiki chuma ambacho unaweza kukigeuza kama simu ukitaka muda wowote Angalia specs👇👇 wa.me/p/558112256532… Bei ni 800,000Tsh kwa 900,000Tsh wa.me/+255716925732 or DM me for more information ❤ karibu🙏
account_circle
formemym_🇹🇿(@Its_Lighter) 's Twitter Profile Photo

Leo movie ya EONII ilikuwa premiered na Azam Tv kwa mara ya kwanza,kama hatua sasa zinapigwa kubwa tena kwa uhakika.Jamaa wametisha🙌🙌🔥🔥

account_circle