Bahati Chirwa
@chirwabahati
| Naibu msemaji sekta ya Elimu.
Katibu | Ngome ya Wanawake | Act Wazalendo Mkoa | Tanga | Based in Tanga, Tanzania | Professional Teacher |
ID: 1259469596983201793
10-05-2020 13:05:52
798 Tweet
1,1K Takipçi
156 Takip Edilen
Wanawake wapiganaji wa ACT Wazalendo Monalisandala Dorothy Semu Janeth Rithe na dada Upendo
Ujenzi wa Chama Kata ya Mtego wa noti Jimbo la Kigoma kusini 🔥💜 Ado Shaibu @ACT_wazalendo1 Mwanaisha Mndeme Dotto Rangimoto #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Bangwe (CCM) na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kigoma Issa Hussein Ahmad amejiunga na ACT Wazalendo. Ndugu Issa amepokelewa leo na Katibu Mkuu, Ndugu Ado Shaibu kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kigoma Mjini. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Jasho vs Kifuta Jasho “ACT Wazalendo Tunataka wastaafu wapate Jasho lao badala ya kifuta jasho” Dorothy Semu Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Mwanza 11.06.2023
KC Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akiwashukuru wazee waliounga mkono maono yake; maono yaliyopelekea kuzaliwa kwa ACT-Wazalendo. Wazee hawa ni Mzee Mushumbusi, Mzee Shilungushela na Charles Mwera. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
"Bajeti ya Serikali ya 2023/24 ni bajeti ya furaha kwa wafanyabiashara, maumivu kwa wanyonge. Tumeiita hivyo sababu inatoa nafuu kwa wafanyabiashara na kuwatekeleza wanyonge." Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi Ester Thomas #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Muendelezo wa ujenzi wa chama @ACT_wazalendo1 Jimbo la mkinga. Huu ni uongozi mpya kata ya Duga Sigaya. Viongozi wote walikua chama cha CUF Wameshusha tanga na kupandisha Tanga la ACT-WAZALENDO. Ado Shaibu Dotto Rangimoto #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.
"Ni uzembe wa ukarabati Kivuko ndio uliopelekea vifo vya wanafunzi wanne Mto Rufiji." Waziri Kivuli wa TAMISEMI na Maendeleo Vijijini KMchuchuli #TaifaLaWote #MaslahiYaWote Wasemaji wa Kisekta ACTWazalendo Ado Shaibu Kassala
Ziara ya Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe katika Majimbo ya Mkoa wa Kigoma inaendelea. Leo yuko Jimbo la Buhigwe. Atafanya kikao cha ndani na viongozi wa ACT wa matawi na kata zote za jimbo hilo. Kisha saa nane mchana atafanya mkutano hadhara Munanila Center.
Ziara ya Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe katika Majimbo ya Mkoa wa Kigoma inaendelea. Leo yuko Jimbo la Buhigwe. Atafanya kikao cha ndani na viongozi wa ACT wa matawi na kata zote za jimbo hilo. Kisha saa nane mchana atafanya mkutano hadhara Munanila Center.
Leo Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amehutubia mkutano wa hadhara Buhigwe. Katika hotuba yake ameitaka Halmashauri ya Buhigwe kujenga kituo cha malori ili inufaike na jografia yake. Kesho KC ataendelea na ziara yake Kigoma Kaskazini. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU BARA ACTWazalendo. 📅 26 Nov - 09 Dec. 2023 Mikoa: 📍Simiyu 📍Mwanza 📍Mkoa wa kichama Kahama 📍Shinyanga 📍Tabora 📍Singida 📍Dodoma #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #TheFutureIsPurple