Safina wa Kisumu
@barusisafina
ID: 800724475851378688
21-11-2016 15:36:06
1,1K Tweet
323 Followers
172 Following
Mungu ni wa rehema ametuamsha hatuna budi kumshukuru siku ya leo Dorah Manya God bless u hapa tunapokea bataka teletele #QwetuJumapili
Pokeeni baraka za jumapili denis obara Besh Brand Ambassador🇰🇪 @sossy773 Liz Munaa QwetuRadio Carol Merab Walter Magamu #QwetuJumapli
#QwetuJumapili now playing salio by Mkenya047 yuko live studioni,una swali au pongezi kwake? Walter Magamu Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya
Nyimbo zake Victor zapatika Mbs,? Muulize Dorah Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya Dorah Manya Dorah Manya Mkenya047 #QwetuJumapili
Anaimba kama kazi ama kubariki nyoyo za watenda zambu Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya Dorah Manya Dorah Manya Mkenya047 #QwetuJumapili
Mgeni wetu anajulikana kwa jina gani?? plz Dorah Manya #QwetuJumapili
Victor anajamii mke na watoto, ama bado, muulize Dorah Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya Dorah Manya Dorah Manya Mkenya047 #QwetuJumapili
Shetani anapenda mahali Mungu yupo, Victor, Continue praying hard Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya Dorah Manya Mkenya047 #QwetuJumapili
Kwani mke wake anatoka wapi ambako wanazika maiti Safina wa Kisumu Aggy Wamukoya Dorah Manya Mkenya047 #QwetuJumapili
Plz Dorah Manya rudia hizo namba tena tafadhali #QwetuJumapili
Eeeeh Baba nice praise and Worshiping Song, Very torching IMENIGUZA Judy Savatia #QwetuJumapili Aggy Wamukoya Dorah Manya Mkenya047