
BUGDADI AJM🇹🇿
@bugdadi5
mkulima na mfugaji na mpenzi wa football Member of SIMBA sports club
ID: 2804419127
04-10-2014 09:33:17
4,4K Tweet
522 Takipçi
4,4K Takip Edilen


Maulid Kitenge Labda INGEKUWA nayo haijafunga hayo mabao kweli stori lakini ndo imepiga goli nyingi, maajabu hakuna


TBC DIGITAL TELEVISION YA TAIFA INASHINDWA KWELII KUONYESHA MECHI ZA TIMU YA TAIFA ETI WAKO KIBIASHARA ZAIDI, MBONA MH. RAIS AMETOA NDEGE HIVI NYIE NI NANI?

Samia Suluhu heshima kwako RAIS wangu, wizara ya Afya, kupitia NHIF Imetangaza vifurushi vya matibabu kwa makundi mbalimbali, lakini watoto walemavu na wazee hatukuona makundi yetu, tunaomba msaada wako tutambuliwe


Freeman Mbowe Mwanakijiji⚽ Hongera sana Mh. Freeman Mbowe kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa na kuheshimu matokeo ya uchaguzi. Kitendo chako cha kukubali matokeo ni somo kubwa la demokrasia na mshikamano. Umeacha alama kubwa ya uongozi wa hekima na uvumilivu. Historia itakukumbuka daima kwa mchango wako

Kuandika na kuandaa thread ndefu si kazi rahis —inahitajika muda na juhudi nyingi. Ukiona umeipenda hii content, onyesha support kwa kunifollow 𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁. Nashukuru sana! 👊🏿


Simba Queens 🇹🇿 HAPA HAKUNA TIMU, VIONGOZI WASIPOSHTUKA BASI KILA MECHI TUNACHUKUA, HAKUNA MWENYE UCHUNGU NA KLABU, UBINGWA KWA TIMU HII TUSAHAU.

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 Kuna mtangazaji mkongwe alialikwa UFM RADIO Pia anaongoza idara fulani hapo hapo UFM RADIO Alisema hayo ya BUKINABE NI MAIGIZO, Lakini hakuleta ushahidi kama haya tunayoyaona huko Bukinafaso, je hakufanya utafiti na alikurupuka? Au hajui?



SINGIDA BLACK STARS SC Waulize wenzio SIMBA WAMETUFUNGA 5 MARA NGAPI? KISHA WAULIZE TENA SISI TUMESHAWAHI KUIFUNGA SIMBA, ACHA TUMALIZE GAME ZETU ZA KIMATAIFA HALAFU TUKUFUNGE MDOMO HALAFU AKAMUELEZE JAMAA YAKO, UMEZALIWA 2000 HALAFU UNATAKA KUJAMBA MELE ZA WATU UTAPASUKA MSAMBA WEE CHONGA
