Mpenda Amani 🇹🇿(@Amani37895399) 's Twitter Profileg
Mpenda Amani 🇹🇿

@Amani37895399

Arranging Adventure Safaris, Camps Hotel Accommodation at Serengeti, Ngorongoro, Manyara, Tarangire, Climbing Mt Kilimanjaro and Zanzibar

ID:1405988865098321930

calendar_today18-06-2021 20:42:01

28,3K Tweets

16,7K Followers

8,7K Following

Follow People
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

👋🏽 MJE TUELEWESHANE‼️
Huyu ni Shaka Hamdu Shaka
Mzaliwa na mkazi wa Zanzibar mwenye ID ya Zanzibar
Ameteuliwa na Rais wa Muungano ambaye ni mzanzibari kuwa mkuu wa wilaya ya bara wakati TAMISEMI si suala la muungano na Zanzibar wana chao 🙄
Sasa tufanye vice versa - inawezekana…

👋🏽 MJE TUELEWESHANE‼️ Huyu ni Shaka Hamdu Shaka Mzaliwa na mkazi wa Zanzibar mwenye ID ya Zanzibar Ameteuliwa na Rais wa Muungano ambaye ni mzanzibari kuwa mkuu wa wilaya ya bara wakati TAMISEMI si suala la muungano na Zanzibar wana chao 🙄 Sasa tufanye vice versa - inawezekana…
account_circle
Askofu Emmaus B Mwamakula(@EmmausAskofu) 's Twitter Profile Photo

Fatma Karume anadai shida sio Zanzibar kukataza Watanganyika kununua ardhi Zanzibar, shida ni sera za Tanganyika legelege juu ya ardhi yao! Kwa maneno mengine, Fatma anasema 'msiwabwatize' Wazanzibari, bali fumueni sera zenu. Msikilizeni Fatma akiwafunda kutunga sera za ubaguzi!

account_circle
Mpenda Amani 🇹🇿(@Amani37895399) 's Twitter Profile Photo

HONGERA KWA KUCHAGULIWA MWEZI WA 5.2024
Tumshukuru Mungu kupitia Zab.16:9“Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam,mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini. Tunapojivunia mafanikio yetu kwa mwezi uliopita,tunapaswa kuendelea kuwa na matumaini
Good Morning

account_circle
Jayleen 💞(@JayleenRickie) 's Twitter Profile Photo

Mmeamkaje... Nakuombea Siku Ya Leo ikawe na Furaha kwako Chochote unachokifanya kikafanikiwe uzidi kupata pesa nyingi 🙏

Mmeamkaje... Nakuombea Siku Ya Leo ikawe na Furaha kwako Chochote unachokifanya kikafanikiwe uzidi kupata pesa nyingi 🙏
account_circle
Rev. Dr. Eliona Kimaro(@ElionaKimaro) 's Twitter Profile Photo

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Mungu wetu ni mtenda kazi, na sisi inatupasa kutenda kazi.Ndio maana kuna laana kwa wafanyao kazi kwa ulegevu (Yer 48:10).

Ukiwa mchapa kazi, unafanyika baraka kwa dunia.

Ninakuombea Mungu abariki kazi ya mikono yako,na uwe nuru kwa wengi.

account_circle
Captαιn Mƙυυ🎖️(@CaptainGerry_) 's Twitter Profile Photo

Tunaumizwa kwasababu tunaweka matarajio makubwa Juu ya mambo ambayo tumemtanguliza Mwanadamu kuliko Mungu, Maisha ni rahisi kama utapunguza Matarajio kwa mwandamu.

Good morning Family.

account_circle
Mkoleni(@mmanyema5) 's Twitter Profile Photo

Unamchukia mtu bila sababu🤣
Unaumia bila sababu🤌
Na isipojiangalia utakufa bila sababu🤣🤣🤣🤣🤣

Unamchukia mtu bila sababu🤣 Unaumia bila sababu🤌 Na isipojiangalia utakufa bila sababu🤣🤣🤣🤣🤣
account_circle
Queen Online Business(@QueenOnlineBiz) 's Twitter Profile Photo

🙏Nisaidie Repost🥰

SHOES🔥🛍️

~Brand name; JORDAN 4🛍️🛍️

~Size; 40 41 42 43 44

➡️Price; 75000/=

~Delivery available
📍Kariakoo
📞 0623346245

🙏Nisaidie Repost🥰 #QUALITY SHOES🔥🛍️ ~Brand name; JORDAN 4🛍️🛍️ ~Size; 40 41 42 43 44 ➡️Price; 75000/= ~Delivery available 📍Kariakoo 📞 0623346245
account_circle
Mpenda Amani 🇹🇿(@Amani37895399) 's Twitter Profile Photo

HONGERA KWA KUCHAGULIWA MWEZI WA 5.2024
Tumshukuru Mungu kupitia Zab.16:9“Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam,mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini. Tunapojivunia mafanikio yetu kwa mwezi uliopita,tunapaswa kuendelea kuwa na matumaini
Good Morning

account_circle
Mpenda Amani 🇹🇿(@Amani37895399) 's Twitter Profile Photo

Usifurahi kusifiwa kwa ubaya
Au kuwaumiza Watu
Furahi ukisemwa kwa wema na kusaidia Jamii
Good morning, everyone 🙏

account_circle
goligani(@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA leo nimekumbuka yale MAFUTA ya KULA unachanganya na KITUNGUU tulikuwa tunapika miaka hyo tukiwa BODINGI ili kuongeza RADHA kweny MAHARAGE na kweny MAKANDE sisi tulikuwa tunayaita NGWESE cjui nyie huko mliyaitaje?😂😂

BACK BENCHA leo nimekumbuka yale MAFUTA ya KULA unachanganya na KITUNGUU tulikuwa tunapika miaka hyo tukiwa BODINGI ili kuongeza RADHA kweny MAHARAGE na kweny MAKANDE sisi tulikuwa tunayaita NGWESE cjui nyie huko mliyaitaje?😂😂
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Post biashara yako hapo kwenye comment usisahau kuandika

1. Aina ya bidhaa ( matumizi ikibidi)

2. Bei ya bidhaa yako

3. Location yako

4. Namba za simu

Post biashara yako hapo kwenye comment usisahau kuandika 1. Aina ya bidhaa ( matumizi ikibidi) 2. Bei ya bidhaa yako 3. Location yako 4. Namba za simu
account_circle
YUSUPH(@Yuzo2fa8) 's Twitter Profile Photo

M-MUNGU ndie anaetosha kua shahidi wa watu wote, ikiwa ni mwenye haki yake au ni mwenye kudhulumu haijalishi bali yeye MUNGU anajua kila kitu
Good morning

account_circle
MZUNGU PORI💪(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

'Nimejifunza Kuwa Kwenye Maisha Cha Muhimu Siyo Nini Unacho Bali Nani Unaye Maishani Ndiyo Jambo La Muhimu😢

Kuna Watu Wamefanyika Mawingu Na Kuna Wamefanyika Nyota Huonekana Ndani Ya Kuishi Kwao Ndani Ya Sheria Za Asili Yao'

Unapotaka Kuoa Fikiri Kwa Kina Kama Wafanya Pepa Ya…

'Nimejifunza Kuwa Kwenye Maisha Cha Muhimu Siyo Nini Unacho Bali Nani Unaye Maishani Ndiyo Jambo La Muhimu😢 Kuna Watu Wamefanyika Mawingu Na Kuna Wamefanyika Nyota Huonekana Ndani Ya Kuishi Kwao Ndani Ya Sheria Za Asili Yao' Unapotaka Kuoa Fikiri Kwa Kina Kama Wafanya Pepa Ya…
account_circle