Aisha-Fifih Keinan (@aishakeinan) 's Twitter Profile
Aisha-Fifih Keinan

@aishakeinan

I try to do the best for myself, family and country.

ID: 465758860

calendar_today16-01-2012 18:15:42

213 Tweet

569 Followers

1,1K Following

Wakili.tv (@wakilitv) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi Mariam Othman akizungumza na vyombo vya habari kwa jinsi gani TLS itashiriki kwenye kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign katika kuhakikisha usawa na utoaji haki kwa wananchi. #WakiliTvKitovuChaSheria

Sara (@piousdeenn) 's Twitter Profile Photo

This Ramadan is yours. Don't let anyone ruin it for you, Don't let anyone hinder your progress & don't let anything prevent you from improving. Remember that you were chosen to be here. Many wanted to be here but they aren't. But you are here. It's not an opportunity to be wasted

Stephen W. Msechu (@msechustephen) 's Twitter Profile Photo

Personally I will vote you 4 VP Tanganyika Law Society(TLS) as you have served us with humility, integrity & professionalism over the past 7 years, serving as a Board member to the Bar Association, allowing yourself to learn and unlearn from the successes & failures of past leaders u r my VP

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

📍𝐃𝐑𝐂 Walinda amani wa 🇺🇳 kutoka #Tanzania 🇹🇿 wawapima #NCDs wakazi wa Beni, Kivu Kaskazini ikiwa leo ni #WorldHealthDay maudhui #HealthForAll @MonuscoF 📰news.un.org/sw/story/2023/… 🎦Ndefu:youtu.be/i5ynxaQbAUY 🎦Fupi⤵️

Stephen W. Msechu (@msechustephen) 's Twitter Profile Photo

Wapendwa wasomi wenzangu wanaTLS, ninapowashawishi mumpigie kura #AishaSinda kwa Sababu namjua vizuri, nilikuwa Mtumishi mwandamizi TLS 2013-2020 nimeona GC members wa kila aina, #AishaSinda anahudhuria vikao vyote vya GC, anashiriki shughuli zote anazotumwa na President

Suji Rainmakers (@semkae) 's Twitter Profile Photo

Aisha-Fifih Keinan FOR TLS VICE PRESIDENT 2023-2024 HER AGENDA 1. Reposition TLS as member-driven 2. Align society with modern business trends 3. A financially empowered TLS 4. Promotion of the rule of law 5. Revamp TLS Legal Aid programme #Sinda4TLSVicePresident2023

Aisha-Fifih Keinan
FOR TLS VICE PRESIDENT
2023-2024
HER AGENDA
1. Reposition TLS as member-driven
2. Align society with modern business trends
3. A financially empowered TLS
4. Promotion of the rule of law
5. Revamp TLS Legal Aid programme
#Sinda4TLSVicePresident2023
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Mawakili Tanganyika kinampongeza wakili Aisha Sinda kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Raisi wa Tanganyika Law Society kwa mwaka 2023-2024 kwa kupata kura 527 kati ya kura 825 #TLSAGM2023

Tanzania CSO Network (@cso_network) 's Twitter Profile Photo

The new leadership of Tanganyika Law Society(TLS), President of TLS Sungusia the Advocate "We can build a Tanganyika Law Society that is more resourceful, responsible, Efficiency and effective in meeting the need of its members and their wider community" #TLSAGM2023

The new leadership of Tanganyika Law Society(TLS), President of TLS Sungusia the Advocate "We can build a Tanganyika Law Society that is more resourceful, responsible, Efficiency and effective in meeting the need of its members and their wider community" #TLSAGM2023
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Kuapishwa kwa Makamu wa Raisi, Wakili Aisha Sinda, Chama cha Wanasheria Tanganyika, Ambaye kwa nafasi yake anaungana na Raisi mteule Wakili Sungusia na wajumbe wengine kuiunda Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society(TLS) #TLSAGM2023

“Tutafanya kampeni ya kurudisha nafasi tuliyoipoteza ktk Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ya mtu binafsi/raia kutoweza kufungua kesi moja kwa moja. Turudishiwe!” Rais wa TLS akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao maalumu na Balozi wa EU in Tanzania Mh. Manfredo.