Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile
Agri Smart Tv

@agrismarttv1

Official twitter account for Agri Smart online Tv. We promote Agribusiness,Food safety,Value chain,Climate change, Agricultural information and Opportunity.

ID: 1566761950763261956

linkhttps://youtube.com/channel/UCCwylbEc2AlwmohFbg5aaVg calendar_today05-09-2022 12:16:05

105 Tweet

251 Followers

284 Following

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Unaifahamu GMO?Faida na hssara zake?Agri Smart Tv tumekuwekea video nzima kwenye YouTube channel yetu. Link ipo kwa Bio yetu, usisahau ku Subscribe, share and comment. #foodsafety Cc MVIWAARUSHA @OfficialTpri

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Parachichi zao lenye soko kubwa ndani na nje ya nchi,huku taasisi ya TAHATanzania inaendelea kufungua milango zaidi kwa wakulima kwa kutoa elimu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa masoko ya nje pamoja na usafirishaji wa zao hilo.Full video ipo YouTube, Link kwenye Bio yetu

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Je unafahamu namna ya kukabiliana na visumbufu vya mimea kama vile viwavijeshi, kwelea kwelea au nzige wa jangwani?majibu yote yapo kwenye full video YouTube ya Agri Smart Tv link ipo kwenye bio yetu.#kilimoanga #sustainablefoodsystem Cc @tzagriculture @OfficialTpri

MVIWAARUSHA (@mviwaarusha) 's Twitter Profile Photo

Arusha sustainable food systems platform (ASFS) is going on at Corridor Spring where stakeholders and partners are discussing and brainstorming the ways to sustain the platform for more and better results. We are very grateful as we are taken through

Arusha sustainable food systems platform (ASFS) is going on at Corridor Spring where stakeholders and partners are discussing and brainstorming the ways to sustain the platform for more and better results.
We are very grateful as we are taken through
Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

TAHA kwa kushirikiana na kituo Cha hort Tengeru. Imewezesha vijana kujifunza nakuanzisha Shamba Darasa na mboga mboga. Lengo ni kuwajenga vijana kuwa na ujuzi wa Kilimo biashara na kuzalisha Kwa Tija. Cc @tzagriculture TAHATanzania Hussein M Bashe Jacqueline Mkindi #bbt #agribusines

TAHA kwa kushirikiana na kituo Cha hort Tengeru. Imewezesha vijana kujifunza nakuanzisha Shamba Darasa na mboga mboga. Lengo ni kuwajenga vijana kuwa na ujuzi wa Kilimo biashara na kuzalisha Kwa Tija. Cc @tzagriculture TAHATanzania Hussein M Bashe Jacqueline Mkindi
#bbt
#agribusines
Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Ili kuboresha mifumo ya chakula nchini, wadau wa kilimo wameomba kilimo kisitumike kama adhabu mashuleni, Nini maoni yako? Full video ipo YouTube channel yetu link kwa bio .Cc @tzagriculture HakiElimu Hussein M Bashe Jacqueline Mkindi Wizara ya Elimu Tanzania Anthony Mavunde

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Ufugaji wa nyuki ni moja kati ya shughuli zenye faida kubwa kama tu mfugaji ataamua kufuga kibiashara. Agri Smart Tv tumekuwekea full video yenye elimu nzuri kuhusu Ufugaji nyuki kibiashara, Link ipo kwa Bio yetu Agri Smart Tv

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Ni kwanini mikoa inayozalisha mazao kwa wingi ndio mikoa inayokabiliwa zaidi na changamoto ya udumavu? Agri Smart Tv tumekuwekea full video kuhusu udumavu na namna ya kukabiliana nao,Link kwenye Bio yetu #EatSmart #boreshalishe

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Nini kifanyike ili kupunguza vigezo vya kupata uwezeshwaji(mikopo) kwa vijana katika sekta ya kilimo kutoka katika taasisi za fedha?

Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday mama,Happy birthday fahari ya Tanzania.Tunakupenda na tunakuombea miaka mingi ya kheri na baraka tele.Asante kwa kuendelea kutoa kipaombelekwenyekilimo.Samia Suluhu #Tukutaneshambani #tanzaniayakijani #thefutureisagri #Samiaanatosha Samia Suluhu

"When we plant trees,we plant Hopes "-Allen Lou.Ambassador Allen Lou Representative of the Republic of China (Taiwan)planting a tree during the launch of a large and modern seed bank in Africa at the World Veg Center located in Arusha,Tanzania World Vegetable Center (WorldVeg) Gabriel Rugalema

Gerald Mweli,Permanent Secretary,Ministry of agriculture making a commitment during the launch of a large and modern seed bank in Africa at the World Vegetable Center located in Arusha Tanzania. CC Wizara ya Kilimo RugalemaGabriel World Vegetable Center (WorldVeg)

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

BBT YAANZA NA UVUNAJI WA ALIZETI KATIKA SHAMBA LA CHINANGALI Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tomorrow -BBT) imeanza kuneemesha wanafuika wa programu hiyo kwa kuanza uvunaji wa zao la alizeti tarehe 19 Juni 2024 katika shamba la Chinangali mkoani Dodoma.

BBT YAANZA NA UVUNAJI WA ALIZETI KATIKA SHAMBA LA CHINANGALI

Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tomorrow -BBT) imeanza kuneemesha wanafuika wa programu hiyo kwa kuanza uvunaji wa zao la alizeti tarehe 19 Juni 2024 katika shamba la Chinangali mkoani Dodoma.
Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

Utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) umeanza kutoa matokeo chanya kwani wanufaika wa BBT wameanza uvunaji wa zao la Alizeti katika shamba la Chinangali, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 620.

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali itaendelea kuunga mkono wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza kwenye uongezaji thamani wa zao la alizeti hususan katika kuzalisha mafuta ya kupikia.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali itaendelea kuunga mkono wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza kwenye uongezaji thamani wa zao la alizeti hususan katika kuzalisha mafuta ya kupikia.
Agri Smart Tv (@agrismarttv1) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa mapema mwaka huu pamoja na uchaguzi mkuu mwaka 2025,wanawake waliopo kwenye sekta ya kilimo,wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mchakato mzima wa kupata viongozi bora pamoja na wao pia kugombea nafasi mbali mbali. #shefarm