FOREIGNER. (@12foreigners) 's Twitter Profile
FOREIGNER.

@12foreigners

Land Surveyor.

ID: 1068394415494967297

calendar_today30-11-2018 06:40:53

734 Tweet

226 Followers

573 Following

Issa Shivji (@issashivji) 's Twitter Profile Photo

Duh! Kutoka Mheshemiwa kwenda mtumishi. Mzigo mzito. Imagine: mtumishi spika au Servant Speaker. At least ina rhyme vizuri. Haya tusubiri kusikilizi majadialano yajayo ya Bunge la Kenya.

Joy (@joy_mbura) 's Twitter Profile Photo

Sikuwah kukisoma,leo napunguza vitu kwa siku nakiona.Niliwahi sikia kilipigwa marufuku,sababu hazikuwekwa wazi. Kurasa za mwanzo sikuona shida IΕ‚a baada ya kurasa kadhaa mimi mwenyewe nikasema ,aaah Kumbe ! Jina la kitabu tu linahitaji maelezo . Nitakimaliza Leo kurasa 99 tu .

Sikuwah kukisoma,leo napunguza vitu kwa siku nakiona.Niliwahi sikia kilipigwa marufuku,sababu hazikuwekwa wazi.
Kurasa za mwanzo sikuona shida IΕ‚a baada ya kurasa kadhaa mimi mwenyewe nikasema ,aaah Kumbe !
Jina la kitabu tu linahitaji maelezo .
Nitakimaliza Leo kurasa 99 tu .
am_ugly_but_i (@kidah_01) 's Twitter Profile Photo

"Hisa za 100,000/= za CRDB za 1966, leo zina thamani ya 54,720,000/=" Nadhani mwaka 1996, 100,000 ilikua inampatia kiwanja kwenye prime areas ambazo kwa sasa ardhi hio ingekua imepanda thamani. Which one is the best investment.

Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

This is the current state of the Benjamin Mkapa Stadium. πŸŸοΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ It will be shocking if this venue doesn’t host the 2nd leg of the Confederation Cup final. #cafccwithmicky #nguvumoja 🦁

Eric Daugherty (@ericldaugh) 's Twitter Profile Photo

🚨 BREAKING: Pope Leo XIV declares that family is based upon a union between a man and a woman, and that the unborn have inherent dignity - NBC

🚨 BREAKING: Pope Leo XIV declares that family is based upon a union between a man and a woman, and that the unborn have inherent dignity - NBC
EXΞ›CTLY (@blizzss) 's Twitter Profile Photo

Wabongo tunaabudu shida sana kmmk Masoko ya kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yote yako hovyo hovyo kmmk Uchafu, harufu, no reform yani kupo kupo tu kmmk πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ Nimetoka soko la mwananyamala liko vile sijui la mabibo kukoje

Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’ (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Handsome La Kijiji Polepole ni kama tuu siku ndugai aliposema kuhusu Deni. Unaweza kua miyeyusho na ukasema ukweli mara 2 au 3. Anaweza kua hana moral authority ila hatuwezi kupotezea anachosema.