ZIP (@zipdmpjr22) 's Twitter Profile
ZIP

@zipdmpjr22

🦍Simba fans #Real MadridπŸ–ŠπŸšΆβ€β™€οΈ
🦁#Graphic design #Crypto 🫠πŸ«₯

MUNGUπŸ•ŒPESA πŸƒMUDAπŸ•°

*We left home to find new home now we are seriously to end poverty*

ID: 1507113624191516677

calendar_today24-03-2022 21:54:38

40,40K Tweet

4,4K Followers

5,5K Following

Vee🌹 (@vee__victoria) 's Twitter Profile Photo

Bila Kutaja Kazi Yako Andika Kifaa Chochote Kinachopatikana Kazini Kwako Alafu Mimi Ntakuambia ni Kazi Gani Unafanya πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

ZIP (@zipdmpjr22) 's Twitter Profile Photo

Ooh mimi sitaki mahusioano ya kugombana sijui nini na nini, uongo ni drama izo anajua kabisa kwenye fact za ugomvi utampiga knockout πŸ˜„, hakuna mahusiano Bila marumbano alaf ndo Muelewane, MWENZENU MAPENZI YATAKUJA NITOA ROHOπŸ˜‡

Ooh mimi sitaki mahusioano ya kugombana sijui nini na nini, uongo ni drama izo anajua kabisa kwenye fact za ugomvi utampiga  knockout πŸ˜„, hakuna mahusiano  Bila marumbano alaf ndo Muelewane, MWENZENU MAPENZI YATAKUJA NITOA ROHOπŸ˜‡
#NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku P. Msigwa alihojiwa na Odemba akasema πŸ‘‡πŸ» Binadamu hufanya maamuzi/judgement based on the information alizonazo. Ukiweka kando mambo mengine yote kumuhusu…. ila kwenye hii kauli Mchungaji alimake sense sanaβœ…βœ… I can relate. Inawezekana viongozi/watawala hawapati

Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania, hivyo, watalala hotelini huku chakula watakachokula kikiletwa kwao moja kwa moja kutoka kwa Ubalozi wa Libya ikiwa ni pamoja na maji, juisi na matunda. #WasafiSports

Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania, hivyo, watalala hotelini huku chakula watakachokula kikiletwa kwao moja kwa moja kutoka kwa Ubalozi wa Libya ikiwa ni pamoja na maji, juisi na matunda.

#WasafiSports
Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Wanawake ni viumbe jasiri sana wakiona hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huwezi kuniambia hapa kuna mapenzi ya kweli nikakuelewa πŸ˜‚

Wanawake ni viumbe jasiri sana wakiona hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huwezi kuniambia hapa kuna mapenzi ya kweli nikakuelewa πŸ˜‚
Afya Yangu 🩺 😷 (@dr_simoni) 's Twitter Profile Photo

π—œπ—Ÿπ—œ 𝗨π—ͺπ—˜π—­π—˜ π—žπ—¨π—’π—‘π——π—’π—žπ—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—™π—”π—‘π—šπ—”π—¦π—œ 𝗭𝗔 π—¨π—žπ—˜π—‘π—œ π—œπ—‘π—”π—¬π—’π—π—œπ—₯π—¨π——π—œπ—”π—₯π—¨π——π—œπ—” π—­π—œπ—‘π—šπ—”π—§π—œπ—” 𝗛𝗔𝗬𝗔 πŸ‘‡πŸΎ β†’ Epuka kuosha uke na vitu vyenye kemikali mfn sabuni zenye harufu kali ( Vaginal douchingπŸ›‹οΈ) β†’ Epuka kuvaa nguo za ndani zikiwa bado Ni

π—œπ—Ÿπ—œ 𝗨π—ͺπ—˜π—­π—˜ π—žπ—¨π—’π—‘π——π—’π—žπ—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—™π—”π—‘π—šπ—”π—¦π—œ 𝗭𝗔 π—¨π—žπ—˜π—‘π—œ π—œπ—‘π—”π—¬π—’π—π—œπ—₯π—¨π——π—œπ—”π—₯π—¨π——π—œπ—” π—­π—œπ—‘π—šπ—”π—§π—œπ—” 𝗛𝗔𝗬𝗔 πŸ‘‡πŸΎ

β†’ Epuka kuosha uke na vitu vyenye kemikali mfn sabuni zenye harufu kali ( Vaginal douchingπŸ›‹οΈ)

β†’ Epuka kuvaa nguo za ndani zikiwa bado Ni
ms rockieey (@rockieey_19) 's Twitter Profile Photo

Nipo stendi ya magufuli hawa wapiga debe wananiuliza unaenda tanga au moro nikajibu naenda zanzibar nasikia wanataja sehemu za siri πŸ˜€πŸ˜€

Nipo stendi ya magufuli hawa wapiga debe wananiuliza unaenda tanga au moro nikajibu naenda zanzibar nasikia wanataja sehemu za siri πŸ˜€πŸ˜€