Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile
Zanzibar Insurance Corporation

@zic_znz

Tunatoa huduma za Bima ikiwemo bima ya chombo cha moto. Karibu Shirika Pendwa La Bima Nchini Tanzania (Zanzibar Insurance Corporation)
#bimanazic

ID: 1251211754782306304

linkhttps://zic.co.tz/employment-opportunities/ calendar_today17-04-2020 18:11:58

477 Tweet

1,1K Followers

6 Following

Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Habari njema! Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# > Huduma za kifedha > VodaBima kisha chagua ZIC #vodabima #bimanazic

Habari njema!

Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# > Huduma za kifedha > VodaBima kisha chagua ZIC 

#vodabima #bimanazic
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji @Arafat_aah akizungumza wakati wa Maonesho ya kibiashara #DubaiExpo2020 yanayofanyika Dubai, UAE. "Sasa wanapokuja kuwekeza Tanzania au Zanzibar, (Unguja na Pemba) basi waje wakiwa na uhakika kuwa uwekezaji wao kuna mtu atawahakikishia Usalama wao" #bimanazi

Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Bima kwa ajili ya wakandarasi itatoa ulinzi wakati wote wa utekelezaji wa mradi ulioshinda. Wasiliana nasi kupitia [email protected] kwa maelezo zaidi. #UjanjaNiKukataBima #bimanazic

Bima kwa ajili ya wakandarasi itatoa ulinzi wakati wote wa utekelezaji wa mradi ulioshinda.

Wasiliana nasi kupitia zichq@zic.co.tz kwa maelezo zaidi.

#UjanjaNiKukataBima #bimanazic
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

📍Arusha Tunaamini hiki ndio kipindi sahihi kuvunja upendeleo. Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) limeendelea na ugawaji wa taulo za kike, kwa kufika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha. Ujumbe wa ZIC uliongozwa na Asha Rashid Ramadhan, Kaimu Katibu (ZIC) %

📍Arusha 

Tunaamini hiki ndio kipindi sahihi kuvunja upendeleo. Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) limeendelea na ugawaji wa taulo za kike, kwa kufika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha.

Ujumbe wa ZIC uliongozwa na Asha Rashid Ramadhan, Kaimu Katibu (ZIC) %
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Zanzibar Insurance Corporation imechangia Shilingi Milioni mbili. (2,000,000 TZS) katika Foundation ya Ally Kimara kupitia mchezo unaoendelea Muda huu Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kati ya Young Africans SC na Timu ya Taifa ya Somalia.

Zanzibar Insurance Corporation imechangia Shilingi Milioni mbili. (2,000,000 TZS) katika Foundation ya Ally Kimara kupitia mchezo unaoendelea Muda huu Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kati ya <a href="/yangasc1935/">Young Africans SC</a> na Timu ya Taifa ya Somalia.
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mtandao wa Vodacom, Fuata hatua hizi kukata bima. Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha, Chagua VodaBima, kisha chagua Nunua, Chagua Bima ndogo alafu Chagua Zanzibar Insurance Corporation (ZIC) Tumia M-Pesa App kulipia bima kubwa #bimanazic #VodaBima

Kupitia mtandao wa Vodacom, Fuata hatua hizi kukata bima.

Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha, Chagua VodaBima, kisha chagua Nunua, Chagua Bima ndogo alafu Chagua Zanzibar Insurance Corporation (ZIC)

Tumia M-Pesa App kulipia bima kubwa 

#bimanazic #VodaBima
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) tunakupongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. #kaziiendelee #MamaYukoKazini #bimanazic

Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) tunakupongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.

#kaziiendelee #MamaYukoKazini #bimanazic
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Habari njema! Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# > Huduma za kifedha > VodaBima kisha chagua ZIC #vodabima #bimanazic

Habari njema!

Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# &gt; Huduma za kifedha &gt; VodaBima kisha chagua ZIC 

#vodabima #bimanazic
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na Laini yako ya Vodacom unaweza kununua Bima ya chombo chako cha moto kupitia M-Pesa app au Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha kisha VodaBima na kisha chagua ZIC kama mtoa huduma. #bimanazic #VodaBima

Ukiwa na Laini yako ya Vodacom unaweza kununua Bima ya chombo chako cha moto kupitia M-Pesa app au Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha kisha VodaBima na kisha chagua ZIC kama mtoa huduma.

#bimanazic #VodaBima
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Habari njema! Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# > Huduma za kifedha > VodaBima kisha chagua ZIC #vodabima #bimanazic

Habari njema!

Unaweza kukatia chombo chako bima kupitia laini yako ya Vodacom. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# &gt; Huduma za kifedha &gt; VodaBima kisha chagua ZIC 

#vodabima #bimanazic
Zanzibar Insurance Corporation (@zic_znz) 's Twitter Profile Photo

Kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania sasa Kata bima ya chombo cha moto kirahisi kupitia M-Pesa. Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha kisha VodaBima na kisha chagua ZIC kama mtoa huduma #bimanazic #VodaBima

Kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania sasa Kata bima ya chombo cha moto kirahisi kupitia M-Pesa.

Piga *150*00# kisha chagua Huduma za kifedha kisha VodaBima na kisha chagua ZIC kama mtoa huduma

#bimanazic #VodaBima