Tanzania Youth Forum (@youthforum_tz) 's Twitter Profile
Tanzania Youth Forum

@youthforum_tz

The main objective of the Tanzania Youth Forum is to create a sustainable coordination mechanism between GoT and Youth through policy and legal frameworks

ID: 1668204922431586304

calendar_today12-06-2023 10:34:10

268 Tweet

233 Followers

43 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi leo tarehe 10 Agosti, 2024 amezindua Kongamano la vijana Jijini Dodoma ikiwa ni kuelekea siku ya vijana kimataifa Agosti 12, 2024.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akipoga picha 'Selfie' na vijana wakati wa ufunguzi wa Kongamano la vijana lillilofanyika Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2024.

Shamrashamra za vijana wakati wa ufunguzi wa kongamano la Vijana lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo 10 Agosti, 2024. Kongomano hilo linaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kishirikiana na wadau wa maendeleo ya vijana.

Shamrashamra za vijana wakati wa ufunguzi wa kongamano la Vijana lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo 10 Agosti, 2024.

Kongomano hilo linaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kishirikiana na wadau wa maendeleo ya vijana.
Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya vijana wakichangia na kutoa maoni kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 wakati Kongamano la Vijana lililozinduliwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi, jijini Dodoma leo Agosti 10, 2024.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akiwa pamoja na Viongozi wa Ofisi hiyo na Wadau wa Maendeleo ya Vijana wakisikiliza maoni wakati wa Kongamano la vijana, jijini Dodoma leo Agosti 10, 2024.

Sehemu ya vijana wakitoa mada kuhusu fursa za Ujasiriamali na Ubunifu wa kidigitali katika kujifunza na kujiajiri wakati wa kongamano la vijana linalofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2024.

Vijana wakifuatilia mada kuhusu fursa za ujasiriamali na ubunifu wa kidigitali kutoka kwa vijana wenzao ambao wanajishughulisha na sekta hizo wakati wa kongamano la vijana jijini Dodoma.

Vijana wakitoa maoni kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 wakati Kongamano la Vijana lililozinduliwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma.

Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Mwakilishi kutoka Shirikisho la Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Idara ya Vijana, Anna Ngalawa akiwasilisha mada kuhusu fursa za biashara kwa njia ya Mtandao wakati wa Kongamano la Vijana linalofanyika jijini Dodoma.

Mwakilishi kutoka Taasisi ya Youth Coordinator - Action Aid, Bw. Arif Fazel akitoa mada kwa vijana walioshiriki Kongamano la vijina jijini Dodoma kuhusu fursa za Ujasiriamali kupitia mitandao ya kidigitali katika kukuza ajira kwa vijana.

Shamrashamra za vijana katika kongamano la Vijana linalofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo 11 Agosti, 2024. Kongomano hilo linaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kishirikiana na wadau wa maendeleo ya vijana.

Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya vijana wakitoa mada kuhusu fursa za kidigitali kupitia Akili Mnemba kwa vijana wakati wa kongamano la vijana linalofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2024.

Vijana wakipata huduma na elimu katika mabanda ya maonesho Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2024. Maonesho hayo yanaambatana na Kongamano la vijana linaloratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo ya vijana.

Vijana wakipata huduma na elimu katika mabanda ya maonesho Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2024. 

Maonesho hayo yanaambatana na Kongamano la vijana linaloratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo ya vijana.
Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Daktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Garvin Kweka, akitoa mada kuhusu Teknolojia na Afya ya Akili kwa Vijana wakati wa Kongamano la vijana linalofanyika Jijini Dodoma, leo Agosti 11, 2024.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akiwa na vijana pamoja na wadau wa maendeleo ya vijana katika kongamano la vijana, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2024.

Vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini wakijiandikisha kuhudhuria kongamano la Taifa la Agenda ya Usalama kwa Vijana linalofanyika jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya kongamano hilo ni "Kijana chukua hatua kudumisha utamaduni na amani Tanzania,"

Vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini wakijiandikisha kuhudhuria kongamano la Taifa la Agenda ya Usalama kwa Vijana linalofanyika jijini Dar es Salaam.

Kauli mbiu ya kongamano hilo ni "Kijana chukua hatua kudumisha utamaduni na amani Tanzania,"