Yosepher F Komba (@yosepherfkomba) 's Twitter Profile
Yosepher F Komba

@yosepherfkomba

Former Tanzania Member of Parliament,Special Seat Tanga.

ID: 743340518499749888

calendar_today16-06-2016 07:12:45

652 Tweet

23,23K Takipรงi

232 Takip Edilen

Flaviana Matata (@flavianamatata) 's Twitter Profile Photo

Daima sitakaa nimuelewe wala kumuheshimu mwanaume anayepiga na kunyanyasa mwanamke hata awe ndugu yangu wa damu. #PingaUkatiliOkoaMaisha

Daima sitakaa nimuelewe wala kumuheshimu mwanaume anayepiga na kunyanyasa mwanamke hata awe ndugu yangu wa damu. #PingaUkatiliOkoaMaisha
Yosepher F Komba (@yosepherfkomba) 's Twitter Profile Photo

Tangulia kamanda, Karatu poleni, Kaskazini tumepoteza mtu makini na mzoefu katika kutafuta na kusimamia haki na Maendeleo. Pumzika Kamanda.

Tangulia kamanda, Karatu poleni,
Kaskazini tumepoteza mtu makini na mzoefu katika kutafuta na kusimamia haki na Maendeleo.
Pumzika Kamanda.
Amarula ๐Ÿง‹ (@icedcowffee) 's Twitter Profile Photo

Among the thngs i have learned this year is not to trust people , hata kama unampenda vipi dont count on him/her. Everybody is selfish haijalishi sacrifices ngapi umefanya for them.

๐‘จ๐’‰๐’Ž๐’‚๐’… ๐‘ฒ ๐‘น๐’–๐’ƒ๐’Š๐’ƒ๐’Š (@ahmadrubibi) 's Twitter Profile Photo

โ€œKatiba iliyotengenezwa 1962 ambayo ndio inafanana na katiba tuliyonayo inampa Rais madaraka mengi na nguvu ya teuzi kubwaโ€ โ€ฆ. Changamoto za katiba ya sasa ni pamoja na madaraka makubwa aliyonayo Rais, hakuna udhibiti wa madaraka haya โ€” Joseph Oleshangay youtu.be/en857YxpRtw

โ€œKatiba iliyotengenezwa 1962 ambayo ndio inafanana na katiba tuliyonayo inampa Rais madaraka mengi na nguvu ya teuzi kubwaโ€ โ€ฆ. Changamoto za katiba ya sasa ni pamoja na madaraka makubwa aliyonayo Rais, hakuna udhibiti wa madaraka haya โ€”  <a href="/Oleshangay/">Joseph Oleshangay</a> youtu.be/en857YxpRtw
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

โ€œMpaka sasa huwezi kupata haki nchini kwa sababu bado tuna mfumo wa kikoloni, tunahitaji #KatibaMpya ikayoweka mambo yote sawa kwenye mfumo wa utawala โ€ โ€” MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi bit.ly/3UMG4jw

โ€œMpaka sasa huwezi kupata haki nchini kwa sababu bado tuna mfumo wa kikoloni, tunahitaji #KatibaMpya ikayoweka mambo yote sawa kwenye mfumo wa utawala โ€ โ€” <a href="/davitheempire/">MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ</a> #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi bit.ly/3UMG4jw
Yosepher F Komba (@yosepherfkomba) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Mwanza na Musoma, Sasa ni Zamu ya Dar kumpokea Mh Lisu, Niko na Mh Asenga(mbunge wa Wananchi wa Rombo) Lisu home coming #NiYeye

Baada ya Mwanza na Musoma, Sasa ni Zamu ya Dar kumpokea Mh Lisu,
Niko na Mh Asenga(mbunge wa Wananchi wa Rombo)
Lisu home coming
#NiYeye
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo #MariaSpaces tunauliza: Elimu duni -je ni mkakati au uzembe wa CCM? Matokeo ya kidato cha nne yametoka lakini wanafunzi ktk shule za umma wnaaendelea kufeli na kiwango cha elimu kushuka! Je ni mkakati wa chama tawala kulea Taifa la wajinga au uzembe tu? Leo saa 2 uck tujadili

Leo #MariaSpaces tunauliza: Elimu duni -je ni mkakati au uzembe wa CCM?
Matokeo ya kidato cha nne yametoka lakini wanafunzi ktk shule za umma wnaaendelea kufeli na kiwango cha elimu kushuka! Je ni mkakati wa chama tawala kulea Taifa la wajinga au uzembe tu?
Leo saa 2 uck tujadili
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunapoambiwa kwamba hizi fedha hazikuingia serikalini. Alafu anaetuambia ni yule mwenye mamlaka ya kuwakamata hawa waliotuibia. Waliofanya haya wengine waliteueliwa nae kuwa majaji, wengine bado ni maafisa wa Serikali!! Tunahitaji uongozi mpya ili tuweze kusaidia hii Nchi.

Tunapoambiwa kwamba hizi fedha hazikuingia serikalini. 

Alafu anaetuambia ni yule mwenye mamlaka ya kuwakamata hawa waliotuibia.

Waliofanya haya wengine waliteueliwa nae kuwa majaji, wengine bado ni maafisa wa Serikali!!

Tunahitaji uongozi mpya ili tuweze kusaidia hii Nchi.
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa sasa wameelimika juu ya haki zao za msingi na wameanza kuhoji juu ya suluhisho la kudumu la ugumu wa maisha na wanaona ni utawala mzuri kupitia #KatibaMpya Tutuvengele1 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtu.be/jKKKs3wT5yc

Wananchi wa sasa wameelimika juu ya haki zao za msingi na wameanza kuhoji juu ya suluhisho la kudumu la ugumu wa maisha na wanaona ni utawala mzuri kupitia #KatibaMpya

 <a href="/MussaMartin14/">Tutuvengele1</a> #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtu.be/jKKKs3wT5yc
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Leo #3Feb ni #maombi yangu msome katiba CHADEMA Tanzania kif. 3.2 #ItikadiMrengoKati na 3.1 #FalsafaPeoplesPower. Pia, mutafakari kif. 3.2.9 juu ya nafasi ya imani na dini katika kujenga #maadili . Kwenye mapambano ya #KatibaMpya tunayoendelea nayo, tuombe pia #NguvuYaMungu Quran 3:26.