KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile
KATIBA YA WANANCHI

@yakatiba

ID: 1446377194255757315

calendar_today08-10-2021 07:29:43

5,5K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA: “TUMEJIPANGA WAKIJA WAKATI WOWOTE akizungumza na wazee wa Dar es Salaam Rais Samia amesema amesikia mmoja wa waandaaji wa nje akitaka maandamano ya Desemba 9 yaahirishwe hadi Krismasi kwa kuwa tumejipanga Amesisitiza: “Wakati wowote wakija, tumejipanga.”

RAIS SAMIA: “TUMEJIPANGA WAKIJA WAKATI WOWOTE
 akizungumza na wazee wa Dar es Salaam  Rais Samia amesema amesikia mmoja wa waandaaji wa nje akitaka maandamano ya Desemba 9 yaahirishwe hadi Krismasi kwa  kuwa tumejipanga Amesisitiza: “Wakati wowote wakija, tumejipanga.”
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

DKT. ARON AFAFANUA SABABU 7 ZA KUFUNGA AKAUNTI ZA MANGE KIMAMBI. Meta imefungia Instagram ya Manga Kimambi: 1) kudhalilisha 2) taarifa upande mmoja 3) uchochezi 4) upotoshaji 5) picha/video zenye ukakasi 6) lugha kali 7) maudhui ya kingono. #SocialMediaSafety

DKT. ARON AFAFANUA SABABU 7 ZA KUFUNGA AKAUNTI ZA MANGE KIMAMBI.
Meta imefungia Instagram ya Manga Kimambi: 1) kudhalilisha 2) taarifa upande mmoja 3) uchochezi 4) upotoshaji 5) picha/video zenye ukakasi 6) lugha kali 7) maudhui ya kingono. #SocialMediaSafety
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

USHAHIDI MPYA WA MIPANGO YA MACHAFUKO Dkt. Mtengecha: “Niliambiwa niende Nairobi kwa mafunzo ya kijeshi ili kuharibu amani.” Asema Mange na CHADEMA walipanga kuchoma moto nchi. Meta Sweden in Tanzania #AmericanEmbassyTanzania

KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AWASAMEHE WAFUNGWA 1,036. Msamaha huu wa Disemba 9 unaendelea kuwa utamaduni wa kila mwaka. Wafungwa 22 waachiwa huru, 1,014 wapunguziwa adhabu. Serikali yatoa wito wajikite kwenye maisha mapya na kuchangia maendeleo.

RAIS SAMIA AWASAMEHE WAFUNGWA  1,036.
 Msamaha huu wa Disemba 9 unaendelea kuwa utamaduni wa kila mwaka. Wafungwa 22 waachiwa huru, 1,014 wapunguziwa adhabu. Serikali yatoa wito wajikite kwenye maisha mapya na kuchangia maendeleo.
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.

UN YAITAMBUA TANZANIA KAMA KIELELEZO CHA AMANI LICHA YA VURUGU ZA UCHAGUZI. Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa rejea ya mshikamano wa kijamii duniani, hata baada ya changamoto za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. #Amani #Umoja #Tanzania

UN YAITAMBUA TANZANIA KAMA KIELELEZO CHA AMANI LICHA YA VURUGU ZA UCHAGUZI.
Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa rejea ya mshikamano wa kijamii duniani, hata baada ya changamoto za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
#Amani #Umoja #Tanzania
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025. #CDF #JWTZ #SKUA #Tanga #UsalamaWaTaifa #SamiaSuluhu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025.
#CDF #JWTZ #SKUA #Tanga #UsalamaWaTaifa #SamiaSuluhu
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya. #Tanzania #Kenya #Uwekezaji

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.
#Tanzania #Kenya #Uwekezaji
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.

Waimbaji wa nyimbo za Injili wathibitisha imani yao kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kupitia wimbo “Tuna Imani na Wewe”, wakionesha mshikamano, uzalendo na dhamira ya kuijenga Tanzania yenye umoja na maendeleo 🇹🇿 #UmojaNiNguvu #AmaniNaMaendeleo #TanzaniaYetU

KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji Ruvu Chini, mkoani Pwani, Desemba 29, 2025. Amesema miradi ya kukabiliana na upungufu wa maji imeanza kutekelezwa kwa miaka 3 iliyopita. #Maji #Serikali

MATWEBE ATAKA MAKUNDI YA BODABODA, WAMACHINGA NA MAMA LISHE YAWEZESHWE KIUCHUMI. Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Shaban Matwebe amesema makundi haya ni mhimili wa uchumi wa wananchi wa kipato cha chini na yanahitaji mifuko maalum ya maendeleo.

MATWEBE ATAKA MAKUNDI YA BODABODA, WAMACHINGA NA MAMA LISHE YAWEZESHWE KIUCHUMI.

Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Shaban Matwebe amesema makundi haya ni mhimili wa uchumi wa wananchi wa kipato cha chini na yanahitaji mifuko maalum ya maendeleo.
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mh. George Simbachawene (Mb) kama Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na nafasi yake inachukuliwa na Mh. Patrobas Katambi (Mb).

🚨 BREAKING NEWS! Mwenyekiti wa JUMIKITA, Shaban Omary Matwebe, amempongeza Waziri wa Habari Paul Makonda kwa kupigania vijana wa mitandao. Na sasa… Wito umetolewa: 👉 Instagram na TikTok zianze kuwalipa Watanzania! Je, huu ni mwanzo wa mapinduzi ya kipato cha kidijitali?

KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki Sherehe za Mwaka Mpya na Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa (Diplomatic Sherry Party), hafla iliofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo January 15, 2026.

Rais Samia Suluhu amehudhuria uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) Dubai na kuwahakikishia wawekezaji uaminifu, uthabiti wa sera, na fursa endelevu. Tanzania imewekeza kimkakati: nishati, reli, bandari, Maeneo Maalum ya Uwekezaji na Dirisha Moja la Uwekezaji.

Rais Samia Suluhu amehudhuria uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) Dubai na kuwahakikishia wawekezaji uaminifu, uthabiti wa sera, na fursa endelevu. 
Tanzania imewekeza kimkakati: nishati, reli, bandari, Maeneo Maalum ya Uwekezaji na Dirisha Moja la Uwekezaji.
KATIBA YA WANANCHI (@yakatiba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Viwanja vya Ikulu ya Dar es salaam kwa ziara ya siku Moja leo February 07,2026.

Tanzania na Uganda zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na miundombinu, ikiwemo matumizi ya bandari za Tanzania, upanuzi wa reli ya SGR hadi Lusahunga na mpango wa reli Tanga–Musoma ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo na kukuza uchumi wa Afrika Mashariki.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza Menejimenti ya Soko, TAMISEMI, na Jiji la Dar es Salaam kukutana na wafanyabiashara ili kupitia upya tozo na ada za pango, na kuja na mapendekezo yatakayolinda pande zote bila kuwaumiza wafanyabiashara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.