MAMLAKA YA MAJI ARUSHA (@yaarusha) 's Twitter Profile
MAMLAKA YA MAJI ARUSHA

@yaarusha

Mamlaka ya maji mjini arusha

ID: 994829162778189825

linkhttp://www.auwsa.go.tz calendar_today11-05-2018 06:38:50

221 Tweet

174 Followers

729 Following

MAMLAKA YA MAJI ARUSHA (@yaarusha) 's Twitter Profile Photo

Timu ya wataalam kutoka AUWSA watakaopita nyumba kwa nyumba kusikiliza na kutatua changamoto ya Huduma inayotolewa na Mamlaka. Tunaomba ushirikiano kutoka kwa Wateja Wetu wote.

Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na AUWSA na SNV wakitoa mafunzo kwa wawezeshaji wa kampeni ya kubadili tabia za usafi wa mazingira *Mazingira Safi Maisha Bora* wa kata ya Kimandolu.