mwela (@xungura) 's Twitter Profile
mwela

@xungura

Article leaner.

ID: 4156640536

calendar_today10-11-2015 13:04:19

1,1K Tweet

531 Followers

947 Following

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Mkombozi kamaliza chuo mungu akutunze Kikubwa ukiwa giant huko kwa media usianze kuongeza 0 kama wenzako😁😁 Usitusahau sisi wenye account ndogo. Neypaul🤎 #neypaulmkombozi

Mkombozi kamaliza chuo mungu akutunze 
Kikubwa ukiwa giant huko kwa media usianze kuongeza 0 kama wenzako😁😁
Usitusahau sisi wenye account ndogo.
<a href="/Neypaul01/">Neypaul🤎</a> 
#neypaulmkombozi
mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Morning jobless vijana Ni siku nyingine ya kusubiri manyanyaso kutoka kwa viongozi sijui leo watakuja na nini Vijana ............. Vijana ............. Vijana ............

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kwa jobless. Washkaji mlio ingia Kwenye ndoa mkija kwenye mageto ya wasimbe msituhasishe kuoa kisa tayari umeona mshkaji kama kajipata. Pita then potea Chench aa betting ndio zinatuweka mjini

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Jobless tulale na hii kutoka kwa nguli shaban Robert. " Tukishapata hasara Huwa watu wa busara Maisha ni masihara Kama una utambuzi. Chambua. Neypaul🤎

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

SIKILIZA JOBLESS TATIZO LETU LIPO HAPA TUPAMBANE... 👇 " Ubaguzi ni husuda. Wala hauna faida. Unadhuru lila muda. Katika kila kizazi. WAKUBWA HAWATAKI KUACHIA CONNECTION. chizzo drama Neypaul🤎

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Wasalaaam wana X Leo si ndio Christmas 🎄 Sasa sikilizeni Ubaguzi ni husuda, Wala hauna faida, Unadhuru kila muda, Katika kila kizazi. MSITUBAGUE SIMU ZIITE TUJE 🍻🥂🍜 Marry Christmas

Neypaul🤎 (@neypaul01) 's Twitter Profile Photo

Watu 300 wameshapata mention kama bado quote retweet yani uki quote ni uhakika. Please usiquote kama tayar unalazimisha nakurudia alaf watu wengi badooo

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Mambo vp jobless wenzangu Sikiliza jobless wenzangu siku moja moja una join space ya SIR JEFF⚡🇹🇿 Unapata madini ya kuwatishia wana mtaani Kuna vitu vingi sana kwa space za Jeff.

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

SIKU 100 ZA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA MAISHA YAKO... 🫡 Kuanzia Kesho, Tar 01-03-2024 Utaenda Kuandika Historia ya Maisha Yako. Labda uchague mwenyewe kubaki hivyo. Repost Iwafikie Wana 🙏 Mafanikio ni siri kubwa. Kwa bahati mbaya, Wengi huwa hawasemi ukweli walipita wapi.

SIKU 100 ZA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA MAISHA YAKO... 🫡

Kuanzia Kesho, Tar 01-03-2024 Utaenda Kuandika Historia ya Maisha Yako.

Labda uchague mwenyewe kubaki hivyo.

Repost Iwafikie Wana 🙏

Mafanikio ni siri kubwa.

Kwa bahati mbaya,

Wengi huwa hawasemi ukweli walipita wapi.
mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Huu ni muda wa kuonesha ukomavu wetu kwenye siasa, demokrasia,amani na ustahmilivu kwa makundi yote ya wananchi wa Tanzania Nchi yetu itajengwa ma sisi wenyewe watanzania.

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Vita vyote na migogoro yote ndani ya nchi na ya kisiasa mwisho wake huwa ni mazungumzo ya amani, wito huo umeletwa kwetu watanzania tuupokee Kumbukeni Tanzania ni moja tu.

mwela (@xungura) 's Twitter Profile Photo

Sisi tuliochagua kuitetea serekali yetu naaamini tutashinda na tunawasubiri ndugu zetu majuto yakiwafika waje tuungane kulitetea taifa letu