xhuhuli (@xhuhuli1302) 's Twitter Profile
xhuhuli

@xhuhuli1302

ID: 1789367487206670337

calendar_today11-05-2024 18:51:23

38 Tweet

108 Followers

67 Following

xhuhuli (@xhuhuli1302) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu ana njia yake ya maisha na ameunganishwa nayo na kuvunja hio inaitaj nguv ya ziada Kwasabab kwa wengine ni ndoto lakn kwa wengine ni uhalisia

xhuhuli (@xhuhuli1302) 's Twitter Profile Photo

Mtu akipendwa bwana,afu asimpende aliempenda anavyo mfanyia kama sio binadamu mwenzio. Ukishindwa kumthamin mtu anaekupenda kwasababu anakupenda ishi nae kama binadamu mwenzako tu itasaidia sana