wizaramifugouvuvi (@wizaramifuguvuv) 's Twitter Profile
wizaramifugouvuvi

@wizaramifuguvuv

Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi

ID: 920576896534044672

linkhttp://mifugouvuvi.go.tz calendar_today18-10-2017 09:06:50

634 Tweet

6,6K Followers

259 Following

wizaramifugouvuvi (@wizaramifuguvuv) 's Twitter Profile Photo

Wataalam wa Mifugo wakichagua na kuangalia ngo'mbe wanaofaa kwa ajili ya kupandikizwa/ uhimilishaji kwa mmoja wa wafugaji Bw. Toephil Mayega wa kijiji cha Kondomwelanzi, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani(22/04.2020)

Wafugaji wa kijiji cha Mkwalia kitumbo wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Hassan Ally Mrutu akitoa elimu kwa wafugaji hao juu ya ufugaji bora wenye tija na Uhimilishaji. (22/04/2020)

Mtafiti wa Mifugo Bi.Neema Urassa akitoa elimu na kuhamasisha wafugaji kufuga kisasa na kibiashara lengo likiwa ni kuwasaidia wafugaji kupata Mifugo mizuri na iliyo bora ili kuweza kufaidika na Mifugo yao kwenye kijiji cha Kondomwelanzi Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani(22/04/2020)

Mtafiti wa Mifugo Bi. Neema Urassa Mfugaji Bw. Mohammed Soa wataalam wa Mifugo Bw. Michael Mwinama na Juma Mohammed wakiongea na kumuelimisha mfugaji uyo namna ya kufuga kibiashara na uhimilishaji na faida zake kwenye kijiji cha Kondomwelanzi wilaya ya mkuranga mkoani Pwani

Maafisa Mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakimsikiliza kwa makini Mtafiti kutoka TALIRI Bi. Neema Urrasa wakati akiwashirikisha jambo kabla ya kuanza kuchagua ng'ombe kwa ajili ya maandalizi ya uhimilishaji kwenye kata ya Magawa wilayani Mkuranga (23/04/2020)

Maafisa Mifugo wakiendelea na zoezi la kukagua ng'ombe kwa ajili ya maandalizi ya uhimilishaji kwenye boma la Bw. Alolo Ngamnoni , kijiji cha kifumangao wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. (23/04/2020)

Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Dkt.Hassan Ally Mruttu akihamasisha na kuelimisha wafugaji wa kijiji cha kafumangao Mkoani Pwani (hawapo pichani) faida za kupandisha ng'ombe kwa njia ya chupa (23/04/2020) lengo likiwa ni kuwasaidia wafugaji hao kufuga kisasa na kwa tija

Watafiti kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakiangalia mifugo iliyotengwa kwa ajili ya zoezi la uhimilishaji kwenye shamba la KMC LTD wilayani Kyerwa Mkoani Kagera. (10/05/2020)

Mtafiti kutoka TALIRI Bi. Neema Urassa (wa pili kutoka kulia) akimuelimisha mfugaji faida ya kuongeza thamani kwa mifugo, kufuga kibiashara na kuvuna mifugo yake ili iweze kuwa na tija kwake na kumuongezea kipato jana katika Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera. (10/05/2020)

Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (wa kwanza kulia)Dkt. Ally Hassan Mruttu akitoa elimu ya umuhimu na faida za uhimilishaji kwa wafugaji na wasaidizi wao kwenye shamba la KMC LTD linalosimamiwa na Bw. Elias Leopold Mkoani Kagera. (10/05/2020

Baadhi ya wafugaji walioshiriki mafunzo ya umuhimu wa uhimilishaji na ufugaji kibiashara katika kijiji cha Ishaka Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera walipata nafasi ya kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili katika ufugaji wao ni pamoja na ukosefu wa soko la maziwa. (11/05/2020

Wafugaji wa kijiji cha Katera Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera wakisikiliza kwa makini mafunzo ya uhimilishaji, ufugaji bora, uvunaji na ufugaji kibiashara yaliyotolewa na watafiti kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi( hawapo pichani) (11/05/2020)

Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Hassan Mruttu (kushoto) akimuhamasisha na kumueleza mfugaji Bw.Gasper Rugimbana (kulia) umuhimu wa kutumia njia ya uhimilishaji kwenye mifugo kwa mfugaji wa Katera Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.

Mtafiti wa Mifugo kutoka(TALIRI) Bi.Neema Urassa akihamasisha wafugaji (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya uvunaji ng'ombe na ufugaji kibiashara kwenye kata ya Isingiro Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera lengo likiwa ni kuwasaidia wafugaji kufaidika na mifugo yao. (11/05/2020)

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel leo (13.05.2020) jijini Dodoma, amekutana na wajumbe wa bodi ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), ambapo pamoja na mambo mengine ameitaka ifanye tafiti za kutatua changamoto za wafugaji.

Baadhi ya wafugaji wa kata ya Busonzo kijiji cha Nakayenze Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita wakiishuru Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwakumbuka na kumuomba Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuwasaidia kupata maeneo ya malisho. (13/05/2020)