Winnie (@winnie23062993) 's Twitter Profile
Winnie

@winnie23062993

God's fav daughter

ID: 1212630401576919040

calendar_today02-01-2020 07:04:51

218 Tweet

149 Takipçi

344 Takip Edilen

Jen_ (@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Kupigania haki ya elimu kwa watoto wa kike ni wajibu wetu. Dunia ya watu walioelimika ni dunia yenye maendeleo. Tanzania kama nchi lazima tuwe na malengo ambayo yanahakikisha watoto wa kike wanapata elimu #ElimuBilaUbaguzi #arudishule

Kupigania haki ya elimu kwa watoto wa kike ni wajibu wetu. Dunia ya watu walioelimika ni dunia yenye maendeleo. Tanzania kama nchi lazima tuwe na malengo ambayo yanahakikisha watoto wa kike wanapata elimu  #ElimuBilaUbaguzi #arudishule
Moccanation 🇺🇸🇭🇲🇬🇧🇹🇿 (@starplusoutfits) 's Twitter Profile Photo

What you need during this Easter ✌ Ngozi halisi na imara 💪 Size 40,41,42,43,44,45 DM/Call/WhatsApp +255620241770 Follow Moccanation 🇺🇸🇭🇲🇬🇧🇹🇿 Tafadhari Retweet someone needs to see this.🙏🏼🙏🏼

What you need during this Easter ✌
Ngozi halisi na imara 💪
Size 40,41,42,43,44,45
DM/Call/WhatsApp +255620241770
Follow Moccanation 🇺🇸🇭🇲🇬🇧🇹🇿

Tafadhari Retweet someone needs to see this.🙏🏼🙏🏼
Ecye (@ecybellah) 's Twitter Profile Photo

Wapwa wapwaa tumuinue home boy ndo kwanza mtoto kazaliwa leo Happy birthday home may God granted ur wishez🥂 to the new age

Sophia Kachima (@skachima) 's Twitter Profile Photo

29/5/2018 nyota ya ndugu yangu kakangu kipenzi ilizimika Alifariki ktk ajali ya gari Alikuwa na upendo usiopimika hata siku ya kifo chake alionyesha kwa kuwaambia marafiki(2) aliokuwa nao"rukeni gari limenishinda"waliruka na kupona Pumzika kwa amani 🙏🏼 Tutakukumbuka daima😭

29/5/2018 nyota ya ndugu yangu kakangu kipenzi ilizimika
Alifariki ktk ajali ya gari
Alikuwa na upendo usiopimika
hata siku ya kifo chake alionyesha kwa kuwaambia marafiki(2) aliokuwa nao"rukeni gari limenishinda"waliruka na kupona
Pumzika kwa amani 🙏🏼
Tutakukumbuka daima😭
Happiness Mushi (@happinessmushii) 's Twitter Profile Photo

Ila kutoboa ile ya kabisa kabisa kwa sisi tuliotokea familia za kimaskini inahitaji nguvu kubwa, mpaka Kuna mda inakatisha tamaa 😤🤦

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Nafikiria kuandika kitabu (ebook/Manual).. “How to start and grow a business online (Instagram, Facebook, Website,etc.) even if you haven’t done any business before with 0 capital Nikipata 1000 Retweets and 2000 likes and few “Yes Do it” comments.. am writing it.

Mutoto Ya Arusha2020 (@mutotoyaarusha2) 's Twitter Profile Photo

One of the most difficult things everyone has to learn is that for ur entire life you must keep fighting& adjusting if you hope to survive. No matter what your position is you must keep fighting for whatever it is U desire to achieve.If U have God on ur side nothing can stop U.

Mutoto Ya Arusha2020 (@mutotoyaarusha2) 's Twitter Profile Photo

When your parents are not rich, but still afford to give you a beautiful life. Appreciate their sacrifices. Try to understand the struggles our parents go through. They work hard to provide for us & give us the best. Give them the love & respect that they deserve

Ecye (@ecybellah) 's Twitter Profile Photo

👡viatu vya shanga na ngozi OG.👡 Jinsia na Rika zote Weka odder ya ua na designe uipendayo tutakutengenezea kulingana na mahitaji yako *Jumla 13,000/= *Rejareja 15,000/= Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja . Arusha free delivery . ::0658243144 Karibu Ecye Tukuhudumie.

👡viatu vya shanga na ngozi OG.👡 Jinsia na Rika zote
Weka odder ya ua na designe uipendayo tutakutengenezea kulingana na mahitaji yako
*Jumla 13,000/=
*Rejareja 15,000/=
Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja .
Arusha free delivery .
::0658243144
Karibu Ecye Tukuhudumie.
Sophia Kachima (@skachima) 's Twitter Profile Photo

Kama Mungu ameweza kukutoa January hadi August Hashindwi kukutoa katika aibu hadi heshima Huzuni hadi faraja Kushindwa hadi ushindi Mungu atakuinua kutoka neema moja hadi neema nyingine Mwezi huu ukawe wa Neema na mafanikio kwetu sote🙏 Mungu awabariki ❤️🤗

Kama Mungu ameweza kukutoa January hadi August
Hashindwi kukutoa katika aibu hadi heshima
Huzuni hadi faraja
Kushindwa hadi ushindi
Mungu atakuinua kutoka neema moja hadi neema nyingine
Mwezi  huu ukawe wa Neema na mafanikio kwetu sote🙏

Mungu awabariki ❤️🤗
Ecye (@ecybellah) 's Twitter Profile Photo

👡viatu vya shanga na ngozi OG.👡 Weka odder ya designe uipendayo #Jumla 13,000/= #Rejareja 15,000/= Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja . Arusha free delivery . 📞0658243144. NIPE DILI #NipeDili Twitta Gulio #TwitterGulio Kamigakiku 🇹🇿//🇮🇱 #MichongoLive #SupportSmallBusinesses

👡viatu vya shanga na ngozi OG.👡
Weka odder ya designe uipendayo
#Jumla 13,000/=
#Rejareja 15,000/=
Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja .
Arusha free delivery .
📞0658243144.
NIPE DILI #NipeDili
Twitta Gulio #TwitterGulio
Kamigakiku 🇹🇿//🇮🇱 #MichongoLive
#SupportSmallBusinesses