WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile
WasafiTv

@wasafitv

Official Twitter Page for Wasafi TV Channel
| AZAM-411 | DSTV 296 | ZUKU-028 | STARTIMES-444 & 333 | COCONUT TV-20 | DodomaCable-113
Visit Our Website

ID: 942026982774239232

linkhttps://wasafimedia.co.tz/ calendar_today16-12-2017 13:41:49

2,2K Tweet

101,101K Followers

1 Following

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

KOMASAVA (Comment Çava) OFFICIAL VIDEO OUT NOW 🌎 🔥 SIMBA..!🦁 🦁 X Jason Derulo 🇺🇸 X @khalilharison 🇿🇦 X Chley Nkosi 🇿🇦 Link On SIMBA..!🦁 Bio !! JE, Unaipa Marks Ngapi ? 💯 #AfricaIsWatching #WasafiDigital

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

#ChrisBrown call for a ceremony, parade, and reduced sentences for all of the employed firefighters and first responders, as well as nearly 800 California Department of Corrections and Rehabilitation (CDCR) prisoners deployed. ___________________________________ Chris Brown

#ChrisBrown call for a ceremony, parade, and reduced sentences for all of the employed firefighters and first responders, as well as nearly 800 California Department of Corrections and Rehabilitation (CDCR) prisoners deployed.
___________________________________

Chris Brown
WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Video Ya Mmoja Kati Ya Mashuhuda Wa Janga La Moto Mkubwa Huko California, Marekani . “Kila Kitu Kinateketea Hapa, Ni Kama Ardhi Ya Ma-Zombie…… Ebu Angalieni Hii, Watu Wameacha Magari Yao, Wameacha Mali Zao, Waandishi Pia Wapo Hapa, Je, Dunia Iko Mwishoni ?” #TRIGGAH

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

#TGIF🎶: What’s Your Mood Today ? - @dbngogo 🇿🇦, @tylericu 🇿🇦, @leemckrazy_mnicee 🇿🇦 & @khalilharison 🇿🇦 - Balimele #AmapianoDance #AfricaIsWatching #ThanksGodItsFriday

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

LISSU ANAWEZA KUITUKANA CCM TU ILA BUSARA ZAIDI YA HAPO HANA @Charles_william2: “Tuhuma zote kuhusu Tundu Lissu kwanini mnaziibua wakati huu wa uchaguzi na hamkuwahi kusema kabla wala kumchukulia hatua za kinidhamu?” Ezekia Wenje: “Chama chetu tunavumiliana kwasababu

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

HUKI AKABIDHI KADI ZA UVCCM 100 Mwenyekiti wa kamati ya utafiti uvccm Mzumbe ndugu Selemani Huki pamoja na katibu wa kamati ya utafiti ndugu Ndeanasia Macha pamoja na wajumbe wa kamati hiyo leo wamekabidhi kadi 100 za uvccm kwenye Tawi la mzumbe ikiwa kama sehemu ya uchangiaji

HUKI AKABIDHI KADI ZA UVCCM 100

Mwenyekiti wa kamati ya utafiti uvccm Mzumbe ndugu Selemani Huki pamoja na katibu wa kamati ya utafiti ndugu Ndeanasia Macha pamoja na wajumbe wa kamati hiyo  leo wamekabidhi kadi 100 za uvccm kwenye Tawi la mzumbe ikiwa kama sehemu ya uchangiaji
WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Nyota Wa Muziki Africa Na CEO Wa Label Ya wasafi Classic Baby , SIMBA 🦁 SIMBA..!🦁 Ameibuka Kuzungumzia Kuhusu Taarifa Zilizosambaa Mtandaoni Za Msanii Wake mbossokhan Kuondoka Katika Label Yake.

Nyota Wa Muziki Africa Na CEO Wa Label Ya <a href="/wcb_wasafi/">wasafi Classic Baby </a>, SIMBA 🦁 <a href="/diamondplatnumz/">SIMBA..!🦁</a> Ameibuka Kuzungumzia Kuhusu Taarifa Zilizosambaa Mtandaoni Za Msanii Wake <a href="/mbosso_/">mbossokhan</a> Kuondoka Katika Label Yake.
WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Aliyewahi Kuwa Mwanamke Wa Elon Musk, Ambaye Pia Ni Mama Wa Watoto Wake “Grimes”, Amemlalamikia Tajiri Huyo Namba Moja Duniani Kupitia Mtamdao Wa X Kuwa Hapokei Simu Zake Wala Hajibu Meseji Zake Pale Anapomtafuta Kwaajili Ya Matibabu Ya Mtoto Wao.

VIJANA TUJITOKEZE KUGOMBEA UCHAGUZI WA MWAKA HUU 2025- HUKI Mwenyekiti wa kamati ya utafiti uvccm Tawi la chuo kikuu mzumbe morogoro Ndugu Selemani Huki akiwa kwenye kikao na vijana wa Tawi hilo la CCM Amewaomba Wajitokeze Kwa Wingi Uchaguzi Wa Mwaka Huu 2025.

VIJANA TUJITOKEZE KUGOMBEA UCHAGUZI WA MWAKA HUU 2025- HUKI

Mwenyekiti wa kamati ya utafiti uvccm Tawi la chuo kikuu mzumbe morogoro Ndugu Selemani Huki akiwa kwenye kikao na vijana wa Tawi hilo la CCM Amewaomba Wajitokeze Kwa Wingi Uchaguzi Wa Mwaka Huu 2025.
WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Wasanii wa Nigeria wameingiza Naira Bilioni 58 (Tsh Bilioni 98.9/=) kwenye Spotify pekee mwaka 2024, kiasi ambacho ni mara mbili ya mapato ya mwaka 2023 na zaidi ya mara tano ya mapato ya mwaka 2022.

DIAMOND AMEFANYA UWEKEZAJI/ HAKUNA HARUSI KALI KUZIDI YA JUX . Leo kwenye @refresh_wtv tumepiga story na @officialtriggah_ Kutoka Digital Ya Wasafi Media, Ambaye Pia aliyekuwepo kwenye harusi ya #JP2025 Nchini Nigeria na kuzungumza nae mambo mengi zaidi Ya Nigeria.

WasafiTv (@wasafitv) 's Twitter Profile Photo

Kwa Mujibu Ripoti Mbalimbali Nchini Zambia, Ni Kwamba Star Wa Muziki Barani Africa 🦁 SIMBA..!🦁 Amelipwa Kiasi Cha $700K Sawa Tsh Bilioni 1.8/= Kwa Ajili Ya Kutumbuiza Kwenye Harusi Ya Mfanyabiashara ‘Jimmy Karabassis’ Na Mkewe ‘Kadi’ Huko Jijini Lusaka, Nchini Zambia.

Kwa Mujibu Ripoti Mbalimbali Nchini Zambia, Ni Kwamba Star Wa Muziki Barani Africa 🦁 <a href="/diamondplatnumz/">SIMBA..!🦁</a> Amelipwa Kiasi Cha $700K Sawa Tsh Bilioni 1.8/= Kwa Ajili Ya Kutumbuiza Kwenye Harusi Ya Mfanyabiashara ‘Jimmy Karabassis’ Na Mkewe ‘Kadi’ Huko Jijini Lusaka, Nchini Zambia.