mbossokhan(@mbosso_) 's Twitter Profileg
mbossokhan

@mbosso_

TheAfricanVoice🌍 E.A Musician-Tanzania🇹🇿 Signed under WCB record lebel Artist|Songwriter|Actor|Guitarist For booking [email protected] For Your Love👇🏻

ID:770242778

linkhttps://mbosso.lnk.to/foryourlove calendar_today20-08-2012 21:17:00

668 Tweets

27,8K Followers

27 Following

Follow People
mbossokhan(@mbosso_) 's Twitter Profile Photo

Na Hii Ndo Track List Ya Ep Yetu Ya
Ambayo Tulikuwa tunaisubiri Kwa Hamu Kubwa Sana
Huyu Hapa
Pole Ft Ruby Hellen Majeshi "Na Keyi" V
Shetani Ft @costatitch & @alfakat_
Wayo Ft Ya Levis
Assalaam Ft @moodyh2
Yataniua ft SIMBA..!🦁
Nenda Kazisikilize..

Na Hii Ndo Track List Ya Ep Yetu Ya #KHANEP Ambayo Tulikuwa tunaisubiri Kwa Hamu Kubwa Sana Huyu Hapa Pole Ft @iamrubyafrica V Shetani Ft @costatitch & @alfakat_ Wayo Ft @yalevisdalwear Assalaam Ft @moodyh2 Yataniua ft @diamondplatnumz Nenda Kazisikilize..
account_circle
mbossokhan(@mbosso_) 's Twitter Profile Photo

Ep Yetu Ambayo Tunaisubiri Kwa Hamu inaitwa
Kesho Tutaitambulisha Rasmi Pale @barrabeachtz
na Kuanzia Saa Sita Usiku Baada Ya Utambulisho Rasmi
itaanza Kupatikana Kwenye Digital Platforms Zote Duniani
Fc

account_circle
mbossokhan(@mbosso_) 's Twitter Profile Photo

Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi
Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz ' Bahari Beach'
Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki
Mbalimbali, Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako...
ila je, we Unadhani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?

Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz ' Bahari Beach' Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki Mbalimbali, Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako... ila je, we Unadhani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?
account_circle