Wami Ruvu-Basin Water Board (@wamiruvu_basin) 's Twitter Profile
Wami Ruvu-Basin Water Board

@wamiruvu_basin

Wami Ruvu Basin Water Board(WRBWB)

[email protected]

ID: 1482715228819410952

linkhttp://www.wamibasin.go.tz calendar_today16-01-2022 14:04:40

8 Tweet

31 Followers

3 Following

Wami Ruvu-Basin Water Board (@wamiruvu_basin) 's Twitter Profile Photo

Maafisa kutoka Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu watakuwepo Aboodmedia kesho tarehe 1/2/2022 kukuelimisha juu ya Hali ya Maji Kwa Sasa, Utiririshaji wa maji taka, Uchimbaji visima kiholela Usipange kukosa.

Wami Ruvu-Basin Water Board (@wamiruvu_basin) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ni tarehe 1 ya mwezi februari mwaka 2022 wataalamu kutoka Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu wamefika katika studio za redio na televisheni za Abood zilizopo Manispaa ya Morogoro Mjini kwa lengo la kuuhabarisha umma kuhusu masuala mbali mbali yanayohusiana na rasilimali maji.

Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali Wataalamu kutoka Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu wamelazimika kufika katika kituo Cha Wami/dakawa kwa lengo la kupima wingi wa Maji pamoja na kupakuwa takwimu ya Maji Kwa Sasa ni 98

watumishi wanawake kutoka Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu katika maandamano na hafla iliyofanyika tarehe 8 machi siku ya wanawake duniani yaliyofanyika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro mgeni rasmi katika maadhimisho hayo akiwa ni mkuu was mkoa wa Morogoro Mhe. Martin Shingela

Kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya Maji Kwa mwaka 2022 kitaifa Yanayotegemea kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar es salaam Kesho tarehe 16/3/2022 Kaimu mkurugenzi Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu mhandisi Elibariki Mmassy atakuwepo ndani ya Clouds 360.

Kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya Maji Kwa mwaka 2022 kitaifa Yanayotegemea kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar es salaam 
Kesho tarehe 16/3/2022 Kaimu mkurugenzi Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu mhandisi Elibariki Mmassy atakuwepo ndani ya Clouds 360.