@waeastzoo
ID: 1527751870743289857
calendar_today20-05-2022 20:44:05
38,38K Tweet
4,4K Takipçi
4,4K Takip Edilen
5 months ago
Huyu ndugu alipata ajali jana trh 24/03/2025 majira ya saa 2 ucku baada ya ajali dereva boda boda alikimbia lakini yy akawa kaumia sana hivyo wasamalia wema walimpeleka hospital hata hivyo haikuwa bahat akapoteza maisha