Moti Guy🚗🇰🇪
@wachira890
Car Dealer🚗🚗
Writer📗📗
ID: 1374133374
23-04-2013 08:24:24
11,11K Tweet
786 Followers
620 Following
As-Salaam-Alaikum dadangu Lulu Hassan ni matumaini yangu kuwa u buheri wa afya mithili ya ngarange za mvule. Langu mie ni kukupa mwaliko wa hapo sebuleni uje tukaweze semezana mawili matatu. Fanya na hima, kwani chelewa chelewa utapata kombe la FA si lako