WABONGO UGHAIBUNI WU® Media PRODUCTION LIMITED (@wabongowu) 's Twitter Profile
WABONGO UGHAIBUNI WU® Media PRODUCTION LIMITED

@wabongowu

Media PRODUCTION LIMITED

ID: 701866000204042240

linkhttp://www.tzabroad.com/ calendar_today22-02-2016 20:27:49

716 Tweet

258 Takipçi

587 Takip Edilen

WABONGO UGHAIBUNI WU® Media PRODUCTION LIMITED (@wabongowu) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mtangamano wa Kikanda wa Jumhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Didier Manzenga Mukanzu.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mtangamano wa Kikanda wa Jumhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Didier Manzenga Mukanzu.
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)

Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano 

Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

AUDA-NEPAD: Afrika yasisitiza kuja PAMOJA kufikia malengo ya Ajenda 2063 Katika mkutano wa Taasisi ya Maendeleo ya Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika sambamba na Mkutano wa Umoja wa Afrika, viongozi kutoka kote barani wameahidi kuunda ushirikiano wa mageuzi na kufungua

AUDA-NEPAD: Afrika yasisitiza kuja PAMOJA kufikia malengo ya Ajenda 2063

Katika mkutano wa Taasisi ya Maendeleo ya Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika sambamba na Mkutano wa Umoja wa Afrika, viongozi kutoka kote barani wameahidi kuunda ushirikiano wa mageuzi na kufungua
433 (@433) 's Twitter Profile Photo

𝐂𝐇𝐄𝐋𝐒𝐄𝐀 𝐀𝐑𝐄 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐏𝐈𝐎𝐍𝐒 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐖𝐎𝐑𝐋𝐃 🏆🌎

𝐂𝐇𝐄𝐋𝐒𝐄𝐀 𝐀𝐑𝐄 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐏𝐈𝐎𝐍𝐒 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐖𝐎𝐑𝐋𝐃 🏆🌎
Embassy of Tanzania | Brussels (@ubalozibrussels) 's Twitter Profile Photo

Bonanza la Mpira wa Miguu la Serengeti Lafana Antwerp, Ubelgiji Bonanza la Soka la Serengeti ambalo lilifanyika jijini Antwerp, Ubelgiji tarehe 15–16 Agosti 2025 limefanikwa kuvuta watu wengi zaidi nchini Ubelgiji na nchi za jirani. Tukio hilo la kimichezo liliwaleta pamoja

Bonanza la Mpira wa Miguu la Serengeti Lafana Antwerp, Ubelgiji

Bonanza la Soka la Serengeti ambalo lilifanyika jijini Antwerp, Ubelgiji tarehe 15–16 Agosti 2025 limefanikwa kuvuta watu wengi zaidi nchini Ubelgiji na nchi za jirani. Tukio hilo la kimichezo liliwaleta pamoja
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

🚨 HONORING LEADERSHIP IN AFRICAN FOOTBALL Under the guidance of CAF President Dr. Patrice Motsepe, the Presidents of Kenya, Uganda and Tanzania have been recognized for their outstanding contributions to football development. 🌍⚽ These nations hosted the most successful CHAN

🚨 HONORING LEADERSHIP IN AFRICAN FOOTBALL

Under the guidance of CAF President Dr. Patrice Motsepe, the Presidents of Kenya, Uganda and Tanzania have been recognized for their outstanding contributions to football development. 🌍⚽

These nations hosted the most successful CHAN
WABONGO UGHAIBUNI WU® Media PRODUCTION LIMITED (@wabongowu) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇹🇿 Pembezoni mwa Kongamano la pili la Mawaziri Urusi-Afrika linalofanyika sasa jijini Cairo, Misri, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mhe. Sergey Lavrov amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.

🇷🇺🇹🇿 Pembezoni mwa Kongamano la pili la Mawaziri Urusi-Afrika linalofanyika sasa jijini Cairo, Misri, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mhe. Sergey Lavrov amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ikulu, Dar es Salaam, Aprili 23, 2026 Hotuba yangu leo nilipopokea ripoti ya Tume niliyoiunda kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025. Tupoendelea kushughulikia na kuyapatia majawabu yaliyotokea, ninawasihi tuongozwe