viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile
viola julius

@vwalaviola

history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takes

ID: 3048029357

calendar_today20-02-2015 20:58:12

101,101K Tweet

16,16K Followers

1,1K Following

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Bluetooth speaker inauzwa, ni portable na nzuri sana. Bei ni 20,000 tu Mcheki Presenter Noah au kwa namba +255659125055 uipate. Delivery ni uhakika popote ulipo.

Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Hi Rafiki! Heri ya msimu wa Pasaka❤️ Tunaposherekea kuna ujumbe mdogo unaweza kujifunza ukafahamu kwanini serikali na wataalamu wa afya wanasisitiza mtoto wako apate chanjo. Sikiliza hapa: youtu.be/dpIcneQucZs?si…

Hi Rafiki!

Heri ya msimu wa Pasaka❤️
Tunaposherekea kuna ujumbe mdogo unaweza kujifunza ukafahamu kwanini serikali na wataalamu wa afya wanasisitiza mtoto wako apate chanjo.

Sikiliza hapa: youtu.be/dpIcneQucZs?si…
Southern Africa Youth Forum (SAYoF) (@sayof_official) 's Twitter Profile Photo

📢📢Official Announcement: Appointment of Ms. Laurel Kivuyo as Southern Africa Youth Envoy to East Africa 🌎 The Southern Africa Youth Forum (SAYoF) is pleased to announce the appointment of Ms. Laurel Kivuyo from the United Republic of Tanzania 🇹🇿 as the Southern Africa Youth

📢📢Official Announcement: Appointment of Ms. Laurel Kivuyo as Southern Africa Youth Envoy to East Africa 🌎

The Southern Africa Youth Forum (SAYoF) is pleased to announce the appointment of Ms. <a href="/KivuyoLaurel/">Laurel Kivuyo</a> from the United Republic of Tanzania 🇹🇿 as the Southern Africa Youth
Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Leo kuna wenzetu wamenunua viwanja bila kufanya uchunguzi/upekuzi/uhakiki ili kujua mmiliki halali au kujua serikali imepanga nini kwenye hicho kiwanja. Watajenga halafu serikali au mmiliki halali atakuja kuwabomolea baada ya miaka 5 au 10 ijayo. Zitapostiwa video zao wanalia

Cheza Foundation (@chezafoundation) 's Twitter Profile Photo

Tunakutakia Pasaka yenye furaha na amani! Msimu huu ulete tumaini, wema, na huruma katika kila jambo tunalofanya. Asante kwa kuwa sehemu ya safari yetu ya kuleta mabadiliko. #HappyEaster #HopeInAction #CommunityLove #Chezanasi #Chezafoundation

Tunakutakia Pasaka yenye furaha na amani! Msimu huu ulete tumaini, wema, na huruma katika kila jambo tunalofanya. Asante kwa kuwa sehemu ya safari yetu ya kuleta mabadiliko.

#HappyEaster #HopeInAction #CommunityLove #Chezanasi #Chezafoundation
Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Ni vigumu sana Kuepuka mgogoro wa ardhi nchini kwetu kwa 100%, ila ukifanya uchunguzi/upekuzi/uhakiki unaweza kuwa salama kwa 70%. Ni jukumu la mtu mmoja mmoja kufanya uchunguzi hasa wakati wa kununua ardhi au kabla hujajenga ili uweze kujiepusha na kutapeliwa au kubomolewa

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Pesa ya Mwijaku , connections za Mwijaku . Sasa mke wake na watoto wana hali gani? tuache familia ndio unaona mdogo wako anapigwa au anapiga vile kisa mume wa mtu ….. we need to fear men with every breath

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Mungu atuepushe tusije ona vitu vya ovyo vya watoto wetu mitandaoni ukishakuwa mkubwa ndio unaelewa wazazi wako walijibana kiasi gani kukosomesha,kukulisha,kukuvesha nk.

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Ni ngumu sana Kuepuka mgogoro wa ardhi nchini kwetu kwa 100%, ila ukifanya uchunguzi/uhakiki unaweza kuwa salama kwa 70%.Ni jukumu la mtu mmoja mmoja kufanya uchunguzi hasa wakati wa kununua ardhi au kabla hujajenga ili uweze kujiepusha na kutapeliwa au kubomolewa Thom Mnkondya

Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

JE RAIS SAMIA ANA UTAYARI WA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI..? Na Thom Mnkondya. Katika kipindi ambacho wizara ya ardhi inapaswa kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya ardhi nchini,ikiwemo kupunguza na kuondoa malalamiko na migogoro ya ardhi ni kipindi hiki cha serikali ya awamu ya

JE RAIS SAMIA ANA UTAYARI WA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI..?
Na Thom Mnkondya.
Katika kipindi ambacho wizara ya ardhi inapaswa kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya ardhi nchini,ikiwemo kupunguza na kuondoa malalamiko na migogoro ya ardhi ni kipindi hiki cha serikali ya awamu ya
Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

Mzizi wa tatizo ni ‘Mwijaku’…’Status’ au ‘Hela’?? Au kutokujitambua? This is why I preach mindset change and financial freedom for Young Women.. And digital footprint - because that video will forever stay online..You will forever be known as ‘yule aliyemdhalilisha mwenzake’

Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Happy Easter Fam 🤍, Ukawe ufufuo wa imani zetu, uchumi wetu, mahusiano yetu binafsi na ya kifamilia, mwenyezi Mungu akatufanyie wepesi katika magumu yoyote tunayopitia kwani kwa kupigwa kwake sisi tumepona 🙌🏾🙏🏽. #HappyEaster 🤍❤️‍🩹❤️‍🔥

Happy Easter Fam 🤍,

Ukawe ufufuo wa imani zetu, uchumi wetu, mahusiano yetu binafsi na ya kifamilia, mwenyezi Mungu akatufanyie wepesi katika magumu yoyote tunayopitia kwani kwa kupigwa kwake sisi tumepona 🙌🏾🙏🏽.

#HappyEaster 🤍❤️‍🩹❤️‍🔥
De' Sung (@athman_sungura) 's Twitter Profile Photo

Mzizi wa tatizo ni aina ya maisha, kama taifa tumeyachagua vijawa wetu waishi. Kila mtu anahubiri starehe, maisha mazuri wakati hatuna mipango, sera wala namna ya kuwawezesha vijana kusimama na kujitegemea. Tunawaambia vijana waende VETA huku sisi tunakula kuku kwa mrija.