uncle Jabber (@visualsbyjabber) 's Twitter Profile
uncle Jabber

@visualsbyjabber

Photographer • Lifestyle • Content Creator • Talent Manager | 📩 [email protected] 📍Dar es salaam/Tanzania

ID: 2950083351

linkhttps://linktr.ee/visualsbyjabber calendar_today29-12-2014 22:18:50

10,10K Tweet

723 Followers

1,1K Following

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Msanii fulani kaenda radio kufanya interview ya kutambulisha na kupromote wimbo wake maskini ya Mungu anajipambania. Anafika radio mtangazaji anamuuliza kati ya finale na happy ipi ngoma kali na kwanini😁😁😁 Wanabishana hiyo topic dakika 10 nzima, then anaambiwa haya cha

NAOMI FUJO (@naomi_fujo) 's Twitter Profile Photo

Huenda ujamuelewa Diamond Karudie Interview Na Swali Alilo Ulizwa? Diamond alikua anatoa Tathimimi Yake Kwenye Wizara Ya Michezo Na Hakutoka Hapo Na Ajailaumu Serikali Bali Alikua Anatoa Mtazamo Wake Na Maoni Yake, Tunashindwa Kuhost Matukio Ya Kimziki Sababu Ya Arena (Fact).

Huenda ujamuelewa Diamond Karudie Interview Na Swali Alilo Ulizwa?

Diamond alikua anatoa Tathimimi Yake Kwenye Wizara Ya Michezo Na Hakutoka Hapo Na Ajailaumu Serikali Bali Alikua Anatoa Mtazamo Wake Na Maoni Yake,

Tunashindwa Kuhost Matukio Ya Kimziki Sababu Ya Arena (Fact).